Jamani naombeni msaada wana jf

kila mtu ameumbwa na silka yake,mwangalie yeye kama yeye na si kabila lake[/QUOTE]

Siyo kuangalia tu, hata kufikiria kabila lake tayari kwangu ni dhambi kubwa. Labda kama katumiwa hiyo parcel na wazazi wake toka huko uheheni.

Mtu mmekutana mjini, tayari wote ni synthetic product halafu unaanza kuuliza kabila? Siwezi kuelewa hata kidogo!

Shikamoo Babu,

Baada ya salamu napenda kujua kama mzima wa afya mimi sijambo huku mjini wote wazima kabisa natumaini bibi yangu hajambo yule mbuzi bibi aliyenipa ameishaanza kutoa maziwa? Nikija kijijini nitakuja nimchukue nimlete huku mjini nipate kumfuga vizuri babu huku mjini kuna magari mengi sana sio kama kijijini halafu kuna umeme na video na kuna taa barabarani mji ni mzuri kweli babu nitakutumia nauli uje huku unitembelee.

Babu ile baiskeli yangu ilikuwa na matatizo ya spoko nakumbuka niliiacha kule kwenye migomba huku baiskeli ziko nyingi nitakutumia na wewe ya kwako yule mchumba wangu mtoto wa jirani yetu Shemdoe yupo? Msalimie sana babu.Babu naomba ukimaliza kusoma hii barua umpe na bibi naye asome nimeweka humo noti ya elfu kumi kwa ajili ya ugoro wako nahisi utakuwa umeisha.

Nikipata nauli nitakuja.

Mjukuu wako mpendwa

The Finest.
 
jamani penzi langu limeangukia kwa mtt wa kihehe sina wasifu wao mzuri moja nililopewa kuu ni kwamba wana hasira sana sasa nahitaji kujua mengi jamani kuhusu hawa watu naombeni michango yenu najua wapo wengi mmekutana nao mnaishi nao mnafanya nao kazi nk.
another HEARTBREAKER!...
 
kila mtu ameumbwa na silka yake,mwangalie yeye kama yeye na si kabila lake[/QUOTE]

Siyo kuangalia tu, hata kufikiria kabila lake tayari kwangu ni dhambi kubwa. Labda kama katumiwa hiyo parcel na wazazi wake toka huko uheheni.

Mtu mmekutana mjini, tayari wote ni synthetic product halafu unaanza kuuliza kabila? Siwezi kuelewa hata kidogo!

DC kwa kweli hata mimi nimekasirika, sasa akitokea hapa siatasema kabila langu wote wana hasira. Ndo maana nimesema mapema tu, Aache kumchakachua mtoto wa watu, manake kesho atamwambia ndo maana kabila lenu lipo hivi na hivi.
 
Mmmmmh yawezekana, lakini si unaona huyu kashaona
Kasoro kwake
au hana uhakika kama ni sahihi kuwa nae
Kwa sababu kabila lake lina hasira. Dalili.....

Kweli LD, hapa kuna mengi zaidi ya kutaka tu kujua kabila! Kama ni kabila basi angeuliza kabla ya kumpata dada wa watu. Hapa kuna chembe chembe nyingi sana na za wazi za unyanyapaa!

Nachukia sana ukibila kuliko kitu kingine katika maisha yangu!
 
Dr Phone kama kuna dadake huyo mhehe wako yuko single niunganishe! Shule tumeshapewa-kamba mbali. Hata mimi nilishaambiwa na Wazee wa siku nyingi sifa zao hao ndungu zetu-Wanyalu kama ambavyo wachangiaji wanavyokushauri, mapungufu yao ndio hayo (Kamba!!! Sasa wekeza kwenye hilo la kutokumfikisha kwenye maamuzi hayo ya kujitundika)
 
Kweli LD, hapa kuna mengi zaidi ya kutaka tu kujua kabila! Kama ni kabila basi angeuliza kabla ya kumpata dada wa watu. Hapa kuna chembe chembe nyingi sana na za wazi za unyanyapaa!

Nachukia sana ukibila kuliko kitu kingine katika maisha yangu!
Umemaliza kuandika ripot yako mkuu?
umebaind vitabu tayari?
umeandaa slide zenye ujazo kwa ajili ya presentation mkuu?
kama bado nakushauri ulale kidogo then uamke uendelee na kazi
kama tayari panda basi njoo dar tule weekend (uje na watoto wote mkuu)
 
Shikamoo Babu,

Baada ya salamu napenda kujua kama mzima wa afya mimi sijambo huku mjini wote wazima kabisa natumaini bibi yangu hajambo yule mbuzi bibi aliyenipa ameishaanza kutoa maziwa? Nikija kijijini nitakuja nimchukue nimlete huku mjini nipate kumfuga vizuri babu huku mjini kuna magari mengi sana sio kama kijijini halafu kuna umeme na video na kuna taa barabarani mji ni mzuri kweli babu nitakutumia nauli uje huku unitembelee.

Babu ile baiskeli yangu ilikuwa na matatizo ya spoko nakumbuka niliiacha kule kwenye migomba huku baiskeli ziko nyingi nitakutumia na wewe ya kwako yule mchumba wangu mtoto wa jirani yetu Shemdoe yupo? Msalimie sana babu.Babu naomba ukimaliza kusoma hii barua umpe na bibi naye asome nimeweka humo noti ya elfu kumi kwa ajili ya ugoro wako nahisi utakuwa umeisha.

Nikipata nauli nitakuja.

Mjukuu wako mpendwa

The Finest.

Ahsante sana TF,

I really shed my old tears! Umenikumbusha mbali mjukuu wangu.

Sote tuko wazima ikiwa ni pamoja na yule mbwa wetu, watoto wake na yule wa jirani yetu aliyemzalisha. Mbuzi wetu wate wazima, wanatamani kukuona. Yule bibi wa mtoto tuliyekupa amajifungua mapacha watatu. Yaani tayari ni wengi mno kiasi kwamba nashindwa kuwapeleka marishoni. Hata hivyo watoto wa jirani yangu (wale mliocheza nao siku ile) wananisaidia. Kuku nao ni wazima. Bata hao usiseme. Baba zako wakubwa na wadogo hawajambo. Wanasema uje kuwaona tena usichelewe. Bibi kachoka ila bado anaweza kwenda kwa jirani yetu (siyo yule mchawi) kuomba moto! Mama wadogo nao....Shangazi pia......Ohhhhhhhhhhh, nimesahau jirani zetu...

Asante sana kwa kutukumbuka na kututumia pesa. Usiache kutukumbuka sisi wazee wako.

Wako akupendaye,

Babu DC
 
Umemaliza kuandika ripot yako mkuu?
umebaind vitabu tayari?
umeandaa slide zenye ujazo kwa ajili ya presentation mkuu?
kama bado nakushauri ulale kidogo then uamke uendelee na kazi
kama tayari panda basi njoo dar tule weekend (uje na watoto wote mkuu)

Bado kamanda ila si unajue tena,...kazi na dawa.

Ngoja nisepe. Titaonana baadaye!
 
Ahsante sana TF,

I really shed my old tears! Umenikumbusha mbali mjukuu wangu.

Sote tuko wazima ikiwa ni pamoja na yule mbwa wetu, watoto wake na yule wa jirani yetu aliyemzalisha. Mbuzi wetu wate wazima, wanatamani kukuona. Yule bibi wa mtoto tuliyekupa amajifungua mapacha watatu. Yaani tayari ni wengi mno kiasi kwamba nashindwa kuwapeleka marishoni. Hata hivyo watoto wa jirani yangu (wale mliocheza nao siku ile) wananisaidia. Kuku nao ni wazima. Bata hao usiseme. Baba zako wakubwa na wadogo hawajambo. Wanasema uje kuwaona tena usichelewe. Bibi kachoka ila bado anaweza kwenda kwa jirani yetu (siyo yule mchawi) kuomba moto! Mama wadogo nao....Shangazi pia......Ohhhhhhhhhhh, nimesahau jirani zetu...

Asante sana kwa kutukumbuka na kututumia pesa. Usiache kutukumbuka sisi wazee wako.

Wako akupendaye,

Babu DC

Ha ha ha ha ha ha lol!!!!! DC wewe ni habari nyingine nimecheka huku sina mbavu JF ina mababu wenye busara kweli
 
nawasalimia jamani,babu dc,teamo,finest,ld,nimezingatia itifaki!mi napita tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom