Jamani naombeni msaada wana jf

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
281
jamani penzi langu limeangukia kwa mtt wa kihehe sina wasifu wao mzuri moja nililopewa kuu ni kwamba wana hasira sana sasa nahitaji kujua mengi jamani kuhusu hawa watu naombeni michango yenu najua wapo wengi mmekutana nao mnaishi nao mnafanya nao kazi nk.
 
acha upuuzi wa hasira
hasira ni hulka ya mtu
ni km vile wachaga ni watafutaji hela ndo kusema makabila mengne hayatafut pesa?wamelala tu..

tabia za mtu ni mtu si kabila wala dini.
 
mama mkubwa wangu ni mhehe na sijaona makasoro kiasi cha kusema wahehe No! cha muhimu ni kwamba tabia sio ishu ya kugeneralize hasa kwa maisha ya kileo. UNAWEZA KUOA MCHAGGA NA AKAWA mvivu kuliko wavivu wenyewe.
 
binamu hapo kwenye red sijakuelewa umenitusi au?
nikweli nakubaliana na ww kwamba tabia ni hulka ya mtu lakini kuna zile tabia za jumla jumla kama mfano wako uliotoa kwa wachaga ipo mifano mingi tu zaidi ya hiyo kwa wachaga hyo ndio point yangu binamu ila hapo kwenye red nifafanulie binamu
 
eti eeh naanza kupata picha lakini lisemwalo lipo hili la hasira nimeanza kuliona wazi sasa
 
acha upuuzi wa hasira
hasira ni hulka ya mtu
ni km vile wachaga ni watafutaji hela ndo kusema makabila mengne hayatafut pesa?wamelala tu..

tabia za mtu ni mtu si kabila wala dini.

Rose we mhehe nini? mbona unahasira sana?
 
jamani penzi langu limeangukia kwa mtt wa kihehe sina wasifu wao mzuri moja nililopewa kuu ni kwamba wana hasira sana sasa nahitaji kujua mengi jamani kuhusu hawa watu naombeni michango yenu najua wapo wengi mmekutana nao mnaishi nao mnafanya nao kazi nk.

Yaani usingezungumzia kabila ningechangia mimi na kabila tofauti kabisa kila la heri
 
binamu hapo kwenye red sijakuelewa umenitusi au?
nikweli nakubaliana na ww kwamba tabia ni hulka ya mtu lakini kuna zile tabia za jumla jumla kama mfano wako uliotoa kwa wachaga ipo mifano mingi tu zaidi ya hiyo kwa wachaga hyo ndio point yangu binamu ila hapo kwenye red nifafanulie binamu

Wewe aliyekwambia hayo nani?? Jumla jumla??

Kama umempenda kaa nae umchunguze acha kutuambia mambo ya makabila yako hapa aahh
 
sio tu nimeambiwa ila yanasemwa yamezoeleka na sio kwa wahehe tu kwa makabila yote tu lazima yanatabia yanasemwa kwayo mfano rose ameshasema wachaga na ww utasema lingine hapa sasa hivi nafikiri umenielewa.
namchunguza na ndio mana unaona naomba ushauri wa taarifa kwa walotangulia kuwajua ili iraisishe uchunguzi wangu mwisho wa siku niweze kuishi na shemeji yenu vzuri bila shida mana waswahili usema mbwa ukimjua jina lake akusumbui mana utamwita tu popy popy
 
Kukimbia tatizo si suluisho ila ni kulihairisha tu. Mi nachojua kila kabila lina wasifu wake na mtu anayejadili si mkabila bali ni mdadisi na ni curious,drp,usiogope kujadili maana kila mtu ana wasifu wake na iyo italeta ukamilifu wa social science. Kwa ujumla wahehe ni watu wenye hekima,na ni waelewa. Pia ni watu wanaojua kutunza mali na wanajali. Pia wana hasira lakin ni controllable. Wasifu wa nje ambao unaujua vizuri ni wafupi! Nakutakia siku njema.
 
kula tano kwanza haya ndo niliyokuwa naitaji ila utashangaa watu wengine wanatokaga kwenye mada husika na kuaribu the all story thanks kwa taarifa nzuri unenipa mwanga mpya na nimeona upande wa pili wa shilingi mana kila kizuri lazima kiwe na kasoro na kila kibaya lazima kiwe na uzuri wake
 
Mkuu kama kuna kitu sikipendi maishani mwangu na sitakaa nikisilize ni kitu wazungu wanaita prejudice au maamuzi mbele, aka fallacy of generalization. Chukulia mtu personally wala ucchukulie kiujumla. hasira, upendo na mengineyo ni masuala binafsi ambayo hayapaswi kuwa attached na kabila fulani. Kama junampenda, mchunguze kama yeye na amua kuendelea au kuterminate mkataba if you may call it that way!
 
jamani penzi langu limeangukia kwa mtt wa kihehe sina wasifu wao mzuri moja nililopewa kuu ni kwamba wana hasira sana sasa nahitaji kujua mengi jamani kuhusu hawa watu naombeni michango yenu najua wapo wengi mmekutana nao mnaishi nao mnafanya nao kazi nk.

Kazi kweli kweli! Tafadhali tufahamishe kama unataka kuoa kabila au mtu ili tukusaidie?
 
Ni wanyenyekevu, wapole na wana heshima lakini inabidi uweke kamba mbali. Huwa wanajinyonga.
 
Kazi kweli kweli! Tafadhali tufahamishe kama unataka kuoa kabila au mtu ili tukusaidie?

kazi kwelikweli mana kumtofautisha mtu na kabila lake si mchezo maana nikisema naoa mtu utaniuliza ni kabila gani tayari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom