Jamani naombeni msaada wa mawazo,nimeshikwa pabaya

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
1,253
1,028
jamani yaani saa hizi ni saa nane na nusu usiku na nashindwa hata kulala kutokana na haya yaliyonikuta dakika chache sana zilizopita.
nina girfriend ambaye kwa sasa anasoma chuo kimoja cha diploma,sasa na mara nyingi kuna mwenzie ambae huwa wanashare simu(ya tochi maana chuo chao masharti mengi so simu zimekatazwa na hii anatumia kiwizi tu) na ndiyo mara nyingi twafanya kuwasiliana na hiyo simu. Ila kuna wakati huwa anatumia simu ya rafiki yake mwingine tena ambaye wanatoka wote mkoa mmoja katika kuperuzi facebook na vitu kama hivyo.
Hadi leo jioni mida ya saa mbili usiku tumeongea vizuri tu na huyo girlfriend wangu na nilikuwa katika good mood as before. Kuanzia mida ya saa sita kama na nusu wakati naangalia movie na nilikuwa online kama kawaida katika JF na facebook na nilikuwa JF nasoma matangazo mara nikaskia message imeingia kwa FB nami bila hiyana nikaifungua ile message
Nilichokutana nacho wala sikutaka hata kuamini kwanza.nilipokea message kuwa nimkome kuanzia leo na anajuta kuwa nami katika mahusiano kwani hakuwahi hata kunipenda. Mie sikushtuka sana kwani hata mahusiano yetu yalimewepo kwa kama miezi mitatu tu,so mimi nilichomwambia ni kwa nini muda wote huo alikuwa anajilazimisha na anakujafanya maaamuzi dakika ya mwisho kama hii?? akanambia mi nijue hivyo tu.
Kiukweli nilikuwa na hasira kweli so niakaacha kuchat nae kwa fb na nikawa bize na movie ambayo hata hivyo nilishapoteza nayo sana tu mood. kama nusu saa hivi mbele nikapata wazo jingine nalo ni kumpigia ili nisikie kwa kauli yake kuwa ndie yeye anaemaanisha kauli kama hiyo au,nilipopiga simu ilipokelewa na rafiki yake wanaeshea simu,so nilimwambia naomba kuongea na ....... nae kwa mshangao akanambia mbona kalala muda mrefu?
nilichomwambia ni kuwa mwabie aache dharau na aamke ninataka kuongea nae jambo la msingi sana so nikasikia kabisa wakati anamuamsha kwa jina nae analalamika kuwa mbona usiku wakati tuliongea na kuagana? Alipopokea simu akawa mwenye kushangaa sana so nami bila kuchelewa nikamuelezea yale ya kwenye facebook yoote nae akaonekana kuwa anaingia njia panda as I went on telling her the incidence nae akidai kuwa mara ya mwisho kuingia fb ilikuwa ni wiki 2 zilizopita akitumia simu ya rafiki yake.nilimuuliza zaidi ya mara tatu kama alisaini out baada ya shughuli yake nae kwa kujiamini alisema kasain out.
sasa swali lilikuja kwamba nani sasa kama sio yeye aliekuwa online maana baade alianza hadi kulia kwa hasira maana mara zote akichukia tu huanza kulia ila mimi nilijua kuwa nafanyiwa sanaa za maigizo. Nilipata akili nyingine so nikamwomba fb user name ya huyo rafiki yake mwenye blackberry nae akanipa,ile kuzama tu nikaona kuwa muda ule ule ambao mimi nilikuwa napata zile ndio muda ambao yule mtu ali update status yake kwa FB so moja kwa moja jibi likapatikana kuwa huenda kweli akawa ni huyo bi shosti ameweza kuhack account ya mwenzie na kuitumia ndivyo sivyo.
Swali ni kuwa hasa huyo mtu anataka kuitumia ile conversation for what purpose?kwanini afanye vile hadi?
Ila mwisho kabisa kitu ambacho nimeweza kufanya ni kubadili password ya my GF kwanza ili kukata access from other computers ila kama kutakuwa na ushauri mwingine ndugu zangu naomba ili kuweza kustabilize hali maana najua katika JF huwa haliharibiki neno. Samahani sana kwa uzi mrefu.
 
Sasa tatizo li wapi?
Angekuwa hakitaki si angekuambia? U have everything under control, we mtaadharishe tu juu ya marafiki zake lkn usiende zaidi ya hapo!
 
Ujinga in practice, Haya Ndo mapenzy ya miaka hii ya dotcom, kama hivi ndivyo mind set zenu zilivyo, ndoa zitadumuje?
 
jamani yaani saa hizi ni saa nane na nusu usiku na nashindwa hata kulala kutokana na haya yaliyonikuta dakika chache sana zilizopita.
Nina girfriend ambaye kwa sasa anasoma chuo kimoja cha diploma,sasa na mara nyingi kuna mwenzie ambae huwa wanashare simu(ya tochi maana chuo chao masharti mengi so simu zimekatazwa na hii anatumia kiwizi tu) na ndiyo mara nyingi twafanya kuwasiliana na hiyo simu. Ila kuna wakati huwa anatumia simu ya rafiki yake mwingine tena ambaye wanatoka wote mkoa mmoja katika kuperuzi facebook na vitu kama hivyo.
Hadi leo jioni mida ya saa mbili usiku tumeongea vizuri tu na huyo girlfriend wangu na nilikuwa katika good mood as before. Kuanzia mida ya saa sita kama na nusu wakati naangalia movie na nilikuwa online kama kawaida katika jf na facebook na nilikuwa jf nasoma matangazo mara nikaskia message imeingia kwa fb nami bila hiyana nikaifungua ile message
nilichokutana nacho wala sikutaka hata kuamini kwanza.nilipokea message kuwa nimkome kuanzia leo na anajuta kuwa nami katika mahusiano kwani hakuwahi hata kunipenda. Mie sikushtuka sana kwani hata mahusiano yetu yalimewepo kwa kama miezi mitatu tu,so mimi nilichomwambia ni kwa nini muda wote huo alikuwa anajilazimisha na anakujafanya maaamuzi dakika ya mwisho kama hii?? Akanambia mi nijue hivyo tu.
Kiukweli nilikuwa na hasira kweli so niakaacha kuchat nae kwa fb na nikawa bize na movie ambayo hata hivyo nilishapoteza nayo sana tu mood. Kama nusu saa hivi mbele nikapata wazo jingine nalo ni kumpigia ili nisikie kwa kauli yake kuwa ndie yeye anaemaanisha kauli kama hiyo au,nilipopiga simu ilipokelewa na rafiki yake wanaeshea simu,so nilimwambia naomba kuongea na ....... Nae kwa mshangao akanambia mbona kalala muda mrefu?
Nilichomwambia ni kuwa mwabie aache dharau na aamke ninataka kuongea nae jambo la msingi sana so nikasikia kabisa wakati anamuamsha kwa jina nae analalamika kuwa mbona usiku wakati tuliongea na kuagana? Alipopokea simu akawa mwenye kushangaa sana so nami bila kuchelewa nikamuelezea yale ya kwenye facebook yoote nae akaonekana kuwa anaingia njia panda as i went on telling her the incidence nae akidai kuwa mara ya mwisho kuingia fb ilikuwa ni wiki 2 zilizopita akitumia simu ya rafiki yake.nilimuuliza zaidi ya mara tatu kama alisaini out baada ya shughuli yake nae kwa kujiamini alisema kasain out.
Sasa swali lilikuja kwamba nani sasa kama sio yeye aliekuwa online maana baade alianza hadi kulia kwa hasira maana mara zote akichukia tu huanza kulia ila mimi nilijua kuwa nafanyiwa sanaa za maigizo. Nilipata akili nyingine so nikamwomba fb user name ya huyo rafiki yake mwenye blackberry nae akanipa,ile kuzama tu nikaona kuwa muda ule ule ambao mimi nilikuwa napata zile ndio muda ambao yule mtu ali update status yake kwa fb so moja kwa moja jibi likapatikana kuwa huenda kweli akawa ni huyo bi shosti ameweza kuhack account ya mwenzie na kuitumia ndivyo sivyo.
Swali ni kuwa hasa huyo mtu anataka kuitumia ile conversation for what purpose?kwanini afanye vile hadi?
Ila mwisho kabisa kitu ambacho nimeweza kufanya ni kubadili password ya my gf kwanza ili kukata access from other computers ila kama kutakuwa na ushauri mwingine ndugu zangu naomba ili kuweza kustabilize hali maana najua katika jf huwa haliharibiki neno. Samahani sana kwa uzi mrefu.

sioni unataka usaidiwe ushauri juu ya nn? Maana jibu liko wazi!
Mnunulie demu wako bb!!
 
Hakuna cha kushauri tena! U have everything under control!
 
Umeshapata jibu kua sio yeye ni rafiki yake ndio amehack account yake,hata kama umebadilisha password tatizo linaweza kujirudia tena coz kuna njia nyingi sana za kuhack account,as long as umeshajua kinachoendelea there's nothing to worry about maisha yaendelee!
 
Umeshajua ukweli wasiwasi wa niini mwambia gf wako awe makini na msiri wa mambo yake
 
mwambie huyo gf wako kwanza kabisa aache kuitumia hiyo fb inamsaidia nini? tumieni njia ya cm kuonge wala si kuchat kwa sms. na jikondisheni hivi mawasiliano yaishie wenye kuiga simu. mnunulie tecno hata ya elf 20 nae aifiche kama wenzie ili iwe njia nzuri ya kuwasiliana kwenye fb acheni huo ni utoto banaa.

yawezekana kabisa target ni wewe yaani huyo gf wako katumika ili wewe umuache kish amtu ajisogeze stuka
 
Pole naona kaka Uzi mrefu duh yote kupenda,haya kama umeamini kua sio yeye sidhani kama ushauri unaitajika hapo...
 
mfungulie akaunt nyngne fb, kwan huenda jama anatumia email hat password nae awEza badlxha, hvyo kuwa makn, nafkr huyo hacker anaweza kufanya mengne hat kwa ndg wa bnt! Kikubwa mnunulie cm yenye net
 
kwenye maelezo hukusema kama huyo bidada hacker aliulizwa na yeye, na mlichukua hatua gani kumuonya huyo bidada hacker!

kuchangia habdset kuna kero nying sana,
kama anayo simu yake mwambie aitumie hiyo simu yake peke yake, kama hana mnunulie mwambie asichangie simu na mtu!
 
Back
Top Bottom