Jamani naombeni msaada mwenzenu tigo imenishinda!

2andamane pamoja mlimani city jumapili ijayo tukarudishe lain zao tuwambie kutumia tigo ni dhambi tunaogopa ukameruni uobama
 
mimi ni simcards zote ,tigo,voda,airtel,zantel na ttcl.mtandao unaozingua nauweka pembeni.wote wazembe hakuna mwenye nafuu.

kweli kabisa mi voda ndo utumbo kabisa hasa kwa huduma ya nmb mobile lh3e
 
mimi ni simcards zote ,tigo,voda,airtel,zantel na ttcl.mtandao unaozingua nauweka pembeni.wote wazembe hakuna mwenye nafuu.

guud, mi nshajichokea kitambo, simu nilishauza! mambo yote kibanda cha simu....! sina tena hizo stress zenu.
 
Tigo haifai kabisaa wanakata watu kila siku bila sababu yoyote na watuambie kama bado wanahuduma ya extreem sms za message mia na kumi natano na charges zake ni sh ngapi,,???tigo acheni uhuni nahaaamaaaa tena nahamia airtel
 
hivi huu mtandao wa tigo umekuwaje mbona wanafanya uhuni wa kutuibia waziwazi! Jana nimeongeza salio la 5000,nikaongea dk 3,simu inakata eti salio halitoshi!kuangalia nakuta imebaki sh.2!leo nimeweka sh.2000,sijaongea hata dk moja,kuangalia salio limebaki sh.3!kwa staili hii tigo imenishinda,kwani tcra wako wapi?
pole sana kaka huyo sokwe hapo wakikuona naye wenyewe utajuta kumfuga.
 
hivi huu mtandao wa tigo umekuwaje mbona wanafanya uhuni wa kutuibia waziwazi! Jana nimeongeza salio la 5000,nikaongea dk 3,simu inakata eti salio halitoshi!kuangalia nakuta imebaki sh.2!leo nimeweka sh.2000,sijaongea hata dk moja,kuangalia salio limebaki sh.3!kwa staili hii tigo imenishinda,kwani tcra wako wapi?

Wakati unakopa na kusepa ulifikiri mitambo inasahau eeeh
 
hivi huu mtandao wa tigo umekuwaje mbona wanafanya uhuni wa kutuibia waziwazi! Jana nimeongeza salio la 5000,nikaongea dk 3,simu inakata eti salio halitoshi!kuangalia nakuta imebaki sh.2!leo nimeweka sh.2000,sijaongea hata dk moja,kuangalia salio limebaki sh.3!kwa staili hii tigo imenishinda,kwani tcra wako wapi?

wafate ofisini kwao kama upo karibu haki yako haiwezi kupotea
 
hivi huu mtandao wa tigo umekuwaje mbona wanafanya uhuni wa kutuibia waziwazi! Jana nimeongeza salio la 5000,nikaongea dk 3,simu inakata eti salio halitoshi!kuangalia nakuta imebaki sh.2!leo nimeweka sh.2000,sijaongea hata dk moja,kuangalia salio limebaki sh.3!kwa staili hii tigo imenishinda,kwani tcra wako wapi?

Hao ndio IT specialist, wavaa kata K wanaohitimu kila mwaka na kupata kazi za madili kwenye mitandao ya kihuni kila kukicha!
 
hivi huu mtandao wa tigo umekuwaje mbona wanafanya uhuni wa kutuibia waziwazi! Jana nimeongeza salio la 5000,nikaongea dk 3,simu inakata eti salio halitoshi!kuangalia nakuta imebaki sh.2!leo nimeweka sh.2000,sijaongea hata dk moja,kuangalia salio limebaki sh.3!kwa staili hii tigo imenishinda,kwani tcra wako wapi?

mie niliwapa adhabu ya kutotumia mtandao wao kwa miezi 3. Leo nimeanza tena kutumia. Kama una pata vichwa vya habari na miziki hivyo vinakula hela kiroho mbaya. Ondoa kabisa. Piga customer care ili wakuelekeze namna ya kuondoa.
 
Back
Top Bottom