Jamani naombeni msaada katika hili

XANDRIA

Member
Jun 6, 2012
17
0
Habari wanajf.tafadhali mimi sijawai kuzaa ila tumbo langu kubwa ka nina mimba vile.kiukweli linaninyima raha,kwasababu naonekana kama mmama mtu mzima kumbe bado binti.tafadhali nisaidieni namna ya kuondoa kitambi...
 
Kuna mazoezi inatakiwa ufanye kupunguza hicho kitambi. Waone wataalamu watakuelekeza mazoezi yanayoweza kukusaidia.
 
Jaribu kunywa maji ya vuguvugu mara kwa mara, hasa asubuhi kabla ya kula kichochote
pia fanya mazoezi ya tumbo.
Usile ukashiba sana, jiwekee ratiba ya kula kidogo kidogo.
Pia kama unatumia pombe na kitimoto/nyama choma acha kabisa.
Acha kula vitu vya mafuta mafuta.
Jitahidi kunywa maji ya vugu vugu kwa wingi na sio baridi sana/ yaloganda ya kwenye friji
 
usahuri wako naona kama umeelimisha vya kutosha anatakiwa ajue nini cha kufanya
 
Back
Top Bottom