Kwa hiyo kwa maneno mengine, tunaweza kusena hakuna kitu kinachoitwa 3.75G?
Au nitakuwa nimekosea wakuu?
Hiyo 3.75G ni nini , kuna nini kimeongezwa from 3.5G ,maelezo ya kina plz.hicho kipo na sasa hivi kuna hadi 4G..
Hiyo 3.75G ni nini , kuna nini kimeongezwa from 3.5G ,maelezo ya kina plz.
Kwa hiyo kwa maneno mengine, tunaweza kusena hakuna kitu kinachoitwa 3.75G?
Au nitakuwa nimekosea wakuu?
Mkuu kama kweli "G" inasimama badala ya Generation(kizazi!), sitegemei kuona geration ya 3.75. Hata kama kwenye electronics kuna hesabu zao,(ambazo nazo ni whole number(0 , 1)), kwa akili ya kawaida tu unaweza kuona kwamba hakuna uwezekano wa generation yenye nukta. Hata nilipojaribu kucheki kwenye wikipaedia nimeona 2G, 3G..., Kiukweli sijaona 2.5 au 3.something, vinginevyo niambiwe kuwa wamesahau.
Kiukweli bado mimi hainiingii akilini kabisa. Generation kuhesabika ktk nukta, mh, nahitaji ufafanuzi kwa kweli.
sasa 3.75G ni 4 au 3Lugha za electronics naona wakati mwingine hazifuati utaratibu wa hali halisi. Sikutegemea kuona generation ikihesabika ktk nukta. Lakini hata hivyo kwenye wikipedia wanaonesha kama hizo nukta hazibadili mantiki ya whole numbers(pengine mi ndo sijaelewa vizuri). Ila kweli hii "G" kusimama badala ya Generation, mimi imeniacha hoi.
KAMA IYO hapo
Umeiweka vizuri kabisa doubt yangu.
Kuna mawili
- Kama G is for generation, we expect 1st, 2nd 3rd,.......7th.......xth generation.
- Kama 2.5G, 3.5G, 3.75G, ni sawa kuwepo basi narudi nilikotoka, G is for Gigabites.
Convince me otherwise
Naona ma-pro wa jukwaa hili wame lay lowMkuu umenivunja mbavu kwa kweli.
Kweli tunahitaji maelezo mazuri kwenye issue hii. Maana hata kwenye wikipedia wamesema hizo 3.5G na 3.75G bado ni 3rd generation tofauti tu ni kuongezeka kwa spdeed. Mimi naona ukweli unabaki pale pale kwamba generation is counted in whole numbers
mkuu mambo ya IT usilinganishe na social life....utaumiza kichwa bure, huwezi KUFANANISHA GENERATION YA KWENYE SOCIAL LIFE na HII YA KWENYE IT...generation inayomaanishwa hapa imekaa ki techology zaidi yaani at what value technlogy imekuwa improved ukilinganisha na technology iliyopita...ndo hapo unapopata hizo 3.5 na 3.75G yaan kuna vitu vidigovidogo vimeongezwa katika normal technology ya 3G na sasa si 3G tena bali ni 3.5G sababu ya hili ongezeko dogo...na hata ukijaribu kufuatilia hii trend ya ukuaji wa techology utagundua kuwa jinsi inavyokuwa skuhizi ni tofauti na zamani ambapo ilikuwa inachukua kipindi kirefu sana mpaka technology kutoka level moja kwenda ingine sku hizi kila siku mambo yanabadilika na technology inazidi kukuwa...na huo ukuaji wake ndo hivyo unakuwa interms of G's...so usishangae ikija 3.759G...na pia hii inachangiwa na uhuru wa wachangiaji ktk technology kwaani kama saizi ipo 3.75 endapo mtu mwingine akafanya mambo na kuongeza vitu vingine juu yake anaweza kuipa technology yake jina la 3.8G kulingana na jinsi alivyoikuza technology yake na kukubalika na jamii....na hapa ndo unakuta GPRS, EDGE, na nyinginezo...Umeiweka vizuri kabisa doubt yangu.
Kuna mawili
- Kama G is for generation, we expect 1st, 2nd 3rd,.......7th.......xth generation.
- Kama 2.5G, 3.5G, 3.75G, ni sawa kuwepo basi narudi nilikotoka, G is for Gigabites.
Convince me otherwise