jamani naomba tiba....

52 na wewe ndg kila timu itakayoshinda yako!
Sasa ni hivi mimi niko England, na J'2 tukimlamba Italy tunaondoka na ndoo!
Hawa Portugal wako lainilaini sana, hata leo ni bahati tu, kumfunga Check, na match watakayofatia ndo mwisho wao. Kubali kataa ndo hivyo.

Judgement mi ni Mreno wa ukweli
Jpili inamkula kwenu mazima
 
Last edited by a moderator:
Sina jinsi wana jamvi nisaidieni,daktari kaniambia tiba pekee nilale shuka moja na mwanamke mwenye macho ya KICHINA,wadau mnanisaidiaje????????????????????????????

Tungo tata wapo tu hujui kila kitu cha kichinachina.hadi samaki wenye jicho la kichina wapo kalagabhao
 
Ili iweje Bishanga lakini una vituko wewe hebu ngoja nikupigie...


Ooooh sory nilikuwa sijaona time
 
The secretary hutaki kuendesha x6 weye? hujui hili bepari moola kwake sio issue? changamka! lol!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom