jamani naomba tiba....

Hoye kweli kweli
Ndio timu yangu kiukweli thats why niko macho nagonga ndofu hadi sasa

52 na wewe ndg kila timu itakayoshinda yako!
Sasa ni hivi mimi niko England, na J'2 tukimlamba Italy tunaondoka na ndoo!
Hawa Portugal wako lainilaini sana, hata leo ni bahati tu, kumfunga Check, na match watakayofatia ndo mwisho wao. Kubali kataa ndo hivyo.
 
Back
Top Bottom