jamani naomba msaada

Tanganyika1

JF-Expert Member
May 10, 2011
422
86
Tangu nilipokua mtoto nimekua nikisikia watu wanasem ati hizo ni ndoto za alinacha. sasa nashindwa kupata jibu, huyu alinacha ni nani? au tunamaanisha nini tunaposema ndoto za alinacha?
tafadhali wanajamii naomba majibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom