Jamani naomba msaada wenu haraka...

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
452
Jamani week hii nilipanga kumvisha pete mama mtarajiwa lakini yamenikuta yaani hapa nilipo nimempigia simu kumtakia usiku mwema lkn anasema amechoka sana na anaomba apumzike..nakaa jirani sana nae,nikaamua kwenda kwake maana si kawaida yake kulala bila kuongea na mimi,jamani jamani nimekataliwa kuingia ndani wala hataki kunifungulia...je kuna jamaa ndani au?naomba msaada wenu pleaseeeeeeeeeeee....
 
Pole sana. Umefanya makosa makubwa sana kuondoka bila kujua nini kilichosababisha akatae kukufungulia. Ungekaa hapo hapo mlangoni usubiri mpaka ujue sababu.
 
hii habari inanishangaza kuna vitu vinapungua...haiwzekani mpenzi wako akwambie amechoka,na unaenda kwake anagoma kufungua mlango..
Sijui nikupe ushauri gani
 
mmmmh ...........
na ulipewa sababu ya gani ya kukataliwa kufunguliwa mlango?
 
mmmmh ...........
na ulipewa sababu ya gani ya kukataliwa kufunguliwa mlango?
...Apewe sababu kwani ni kwake? Ye atulie tu hata kama hakufunguliwa mlango kuna shida gani? Muhimu mzigo wake hata akitaka si anapewa tu. Kama humo ndan kulikuwa na njemba au la wala haina umuhimu wowote..Kwani aliendelea kujifungia siku zote??
 
Usimvishe hiyo pete mpaka hapo atakapo toa maelezo yalio kwenye mstari otherwise utaingizwa mjini.
 
Mkuu kama hii habri unatupiga kamba ..........

Anyway,kama ni kweli yametokea hayo.Vipi ulivyoamua kwenda huko ukakuta hali kama hiyo ulitimua?

Na vipi inaonekana huna imani nae sana mpaka ukaamua kwenda huko kuhakikisha kama ni kweli aliyokuambia kwenye simu

Mkuu,hebu muulize na upate jibu ili usimhukumu vibaya pasipo na uhakika, lakini kama ulifunga safari mpaka huko halafu akagoma kufungua na ukarudi home basi kubaliana na matokeo
 
mmmh! endaikawa alikuwa amechoka sana hata kufungua mlango akashindwa, ila kama ni kweli ya mekukuta pole ssana
 
Back
Top Bottom