jamani naomba mnisaidie

mbalamula

Member
Sep 5, 2011
23
5
Mimi nimepangiwa chuo cha UDOM koz ya nursing ila mkopo hawajanipa na home hawawezi nilipia na vigezo vya mkopo ninavyo nifanyeje,nimekaa home since 2009 kw issue kama hiz?
 
Mimi nimepangiwa chuo cha UDOM koz ya nursing ila mkopo hawajanipa na home hawawezi nilipia na vigezo vya mkopo ninavyo nifanyeje,nimekaa home since 2009 kw issue kama hiz?
<br />
<br />
dah!pole sana mkuu,waibukie hao bodi huko huko dsm.
 
Nenda diploma Education. Nadhani bado hawajaripoti. Kwakuwa wewe ni sayans utakuwa dili sana mtaani, utapata mademu wakal wakali wote.
 
Back
Top Bottom