Jamani nani kanionea mgonjwa wangu wa akili anaitwa "abui2012"namtafuta

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Jamani huyu ni kichaa waakili,namtafu kanitoroka humu jamvini.nilimuacha nimemfungia sehemu nikaenda kuongea na mods wanitafutie sehemu ya kumuifadhi kama vile kuanzisha jukwaa la vichaa lakini niliporudi sijamuona
popote alipo onekana mnitaaalifu maana akili imefyatuka
 
jamani huyu mtu mmemuona?nasikia kaonekana jukwaa la siasa!sijui kaonekana wap!...kwa waliomuona amevaa au!
 
sijamuana mkuu,wewe ulipo muona alikua kavaa kweli au alikua uchi....nzakali zote nje?

Alikuwa amevaa full suti ya rangi ya udongo, imembana sana mwilini, afu tai iko usawa wa kiuno.
Ila we kalale tu mkuu, si unajua hawanaga kesi wale hata wakigonga treni.
 
yupo kwenye recycle bin ya invizibo baada ya kumdhalilisha sijui lini atamrestore zaidi ya hapo sijui..
 
Alikuwa amevaa full suti ya rangi ya udongo, imembana sana mwilini, afu tai iko usawa wa kiuno.
Ila we kalale tu mkuu, si unajua hawanaga kesi wale hata wakigonga treni.

mkuu tatizo ni kwamba nahofia uhai wake humu jamvini maana naweza kumpoteza,kibaya zaidi kaondoka na sindilia ya shemeji yake madameB ,
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom