jamani, nani anapata raha zaidi?

SARAWAT

Member
Feb 20, 2011
37
4
Mpaka leo sijawahi kuelewa kati ya mwanaume na mke wakati wakichakachuana ni nani anafaidi zaidi. Nionavyo mwanaume hufaidi zaidi, na hii inajidhihirisha katika kutafutana, mwanaume uhaha kweli mpka analipata tunda la kuchakachua, wakati wasichana huleta mapozi mengi. naomaba michango yenu
 
Lilishawahi kujadiliwa hapa hilo suala,na ikaonekana kuwa haiwezekani kupata jibu kwa kuwa hakuna kiumbe aliyewahi kuwa mwanaume kisha akawa mwanamke na kutoa hisia zake.
 
Lilishawahi kujadiliwa hapa hilo suala,na ikaonekana kuwa haiwezekani kupata jibu kwa kuwa hakuna kiumbe aliyewahi kuwa mwanaume kisha akawa mwanamke na kutoa hisia zake.

Naona leo umeongeza muda wa kusali, manake unakumbuka mambo ya zamani kwa haraka!!
 
Lilishawahi kujadiliwa hapa hilo suala,na ikaonekana kuwa haiwezekani kupata jibu kwa kuwa hakuna kiumbe aliyewahi kuwa mwanaume kisha akawa mwanamke na kutoa hisia zake.

Wapo! labda tu humu Jamvini hatuna.....wanapatikana sana huko Thailand!!
 
siwezi kupost hiyo link ila niliisoma na inasema hiv mwanamke anapata raha sana kuna watafit waliweka vipimo vya hisia ya utamu(in the brain) at the time watu wakifanya mapenzi na cha mwanamke kilisoma mbali sana (angalizo mpaka mwanamke afike kileleni siyo kurush kama wafanyavyo wanaume wengi eti kachovya katoa eti senxi mummy)
 
Mkuna na mkunwa, mkunwa hujisikia raha zaidi kwa hiyo itategema na staili mtakayotumia; mfano mimi nikiwa na mpenzi wangu mi nikilala chini na yeye akaja juu yangu pale huwa nakunwa huwa najisikia raha kupindukia na kwa staili nyingine inakuwa raha ya kawaida nadhani pale huwa nakuna.
 
chukua kidole na kisugue sikioni. kati ya kidole na sikio ni kipi kina enjoy? nafikiri hapo unaweza kupata jibu
 
Kati ya chaja na betri kipi kinapata faida? Wanapata raha sana hawa kutokana na ujuzi wangu. Hasa ukimpatia. Na wanawake wanaosema mwanaume anafaidi zaidi huwa hawafiki mshindo, ama hawafikishwi
 
Mchakachuaji na mchakachuliwa anayeenjoy ni mchakachuliwa. Hiyo haina ubishi na ukitaka uamini rejea ile ya mkunaji na mkunwaji nani anayefaidi? Ndiyo maana wanawake wana tabia ya kuwaambia wanaume kwamba 'huniiwezi wewe' wakiwa na maana ya hawezi kumfikisha kunako. Sisi wanaume ndiyo watumwa tunaowakuna na kuwasugua wanawake na kuwafikisha huko wanakotaka kufika hata kama na sisi tunafurahia kazi hiyo.
 
nadhani hii ishu ipo kisaikolojia zaidi. Nasema haya kwa kuangalia hii kwa upande wa mashoga. Kama unapenda kuingiziwa, uta-enjoy kuingiziwa. Kama unapenda kuingiza, uta-enjoy kuingiza.
 
kukumbusha tu "INZI ANAPENDA VINAVYONUKA NA VINAVYONUKIA" Pia vinavyonuka kwako kwamwingine ninanukia, HIVYO basi INZI hupenda vinavyonukia kwake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom