jamani namtafuta Tumaini Abdul Katura

Danniair

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
360
66
Kwa anayejua wereabout yake plz ani andikie private message (PM). Nimepotezana naye sasa. Simu yangu ilipoibiwa 2010 nikapoteza mawasiliano yake.

Asante
 
Kwa anayejua wereabout yake plz ani andikie private message (PM). Nimepotezana naye sasa. Simu yangu ilipoibiwa 2010 nikapoteza mawasiliano yake.

Asante
Pole mkuu,nadhani utampata.Mie nilipotezana mshikaji wangu kitambo sana na nilimpata kupitia jf.
 
Back
Top Bottom