Jamani namtafuta mbunge wangu nani kamwona? Je nani mwingine mwanajf anamtafuta mbunge wake?

Me mbunge wangu ndungulile faustin, cjawah kumuona bungen amechangia abt kgmbn. Mara chache duh ye na mwinchum wale wale
 
Sie tuna mwarabu mmoja anaitwa Aziz Abood, inavyosemekana Ndo mbunge we2 wa jimbo la Morogoro Mjini...Huyu ndo sidhani ka atakuja kuchangia, manake kipindi cha kampeni hata ile kutamka "KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI" alikuwa hadi asome kwenye kalatasi..
teh teh teh!
 
Me mbunge wangu ndungulile faustin, cjawah kumuona bungen amechangia abt kgmbn. Mara chache duh ye na mwinchum wale wale

Kama mlifurahia kofia,kanga,Tsht na 5ooo mjue ndo anazirudisha mpaka zikamilike ndo mtamuona
 
Wadau nimekuwa nikimtafuta Mbunge wangu wa jimbo la Rorya ndugu LAMECK AIRO kwa muda mrefu, je kuna mtu kamwona? Katika kikao cha Bunge kilichopita nilimtafuta sana Bungeni lkn sikufanikiwa kumwona. Sijui ana mpango gani na wananchi wake ambao wana shida nyingi sana lkn yeye yupo kimya tu; hivi anajua kwamba Ukimwi unawamaliza wananchi wake? na hali mbaya ya uchumi je? Lameck hata kuchangia kwa njia ya maandishi Bungeni imekuwa tatizo? Je ni nani sasa anayewasemea wananchi wake?

Mfukuzeni kazi!!!
 
Juzi nilimsindikiza jamaa yangu kwenye msiba wa mdogo wake Morogoro mjini, wenyeji wa Morogoro wanamsifia sana Abood Aziz kuwa ukifiwa na ndugu yako huhitaji kupiga simu kuomba gari ya kwenda kuzika, unashitukia imeshafika tu. Amejitolea basi lake moja kufanya kazi hiyo. Nilipowauliza vipi kumkimbiza mgonjwa kuwahi matibabu walidai unatakiwa kuchangia mafuta ya ambulance ya hosp. Ndugu yangu YEYE watu wa Moro wakikusikia unamsema vibaya Aziz Abood utawakoma. Mwezi wa Ramadhani mchele, sukari nk. anagawa bure unataka kazi zipi afanye mbunge? Viwanda alivyopewa na serikali amegeuza Studio za Redio Abood na ATV Moro wanakula muziki tu kwa raha zao.
 
namshukuru sana Mungu, mbunge wangu mheshimiwa GODBLESS LEMA a.k.a MANDELA, ni msikivu, mara nyingi yupo jimboni kwake, tayari kuwasikiliza wananchi wake, na kutatua matatizo yao, hata huko aliko gerezani saivi, anatatua shida nyingi sana za wafungwa,,, the soo called MZEE, RITZ, RAJEO, na magamba yote, kunyweni sumu kama mnasikia hasira sana, au kuleni ukuta
 
Mi namtafta mbunge wangu wa rungwe magharibi david mwakyusa,nilimwona cku 1 akpga makofi kikao kilichopita,kama naye kaenda india kutibiwa naomba mnijulishe
 
Kwi kwi kwi!

Ha ha haaaa! Kheri yako wewe usiyetafutwa na wapiga kura wako. Pole kwa misukosuko ya kuongoza maandamano ya kumuondoa mwekezaji huko nzega.

Btw, kwanini ulikubali kunaswa kibao na OCD wa nzega mkuu, si ungemkata mtama kama alivyofanya robert kisena!
 
Mi namtafuta MB wangu wa Arumeru Mashariki mpaka hata na jina karibu namsahau,sijui alikuwa anaitwa Sumary. Sijui tulimpa kura ze2 ya nn!
 
Wangu Vangimembe Lukuvi..kwa alivo kilaza sidhani hata kama anajua kutmia laptop kuona Jamii Forum....ye hajawah rud Isman tena!kuna shda ya maji yana wanapokunywa ng'ombe na punda ndo binadamu wanachota,ana kiburi(kidada),matusi yan adi kero agrrrr... Yani n kilaza kweli..anamtmia jamaa flan anaitwa Ronjino Kayage...walau Chiku Abwao tunategemea...
 
Wadau nimekuwa nikimtafuta Mbunge wangu wa jimbo la Rorya ndugu LAMECK AIRO kwa muda mrefu, je kuna mtu kamwona? Katika kikao cha Bunge kilichopita nilimtafuta sana Bungeni lkn sikufanikiwa kumwona. Sijui ana mpango gani na wananchi wake ambao wana shida nyingi sana lkn yeye yupo kimya tu; hivi anajua kwamba Ukimwi unawamaliza wananchi wake? na hali mbaya ya uchumi je? Lameck hata kuchangia kwa njia ya maandishi Bungeni imekuwa tatizo? Je ni nani sasa anayewasemea wananchi wake?

Mkuu umesahau! Mbunge akishachaguliwa anahamia mjini!
 
Mimi namtafuta mbunge wangu arumeru mashariki:Jeremia Solomon Sumari - sisiem

Si nimesikia mbunge wako anaumwa?hiyo sasa roho mbaya unatakiwa ujue afya ya kiongozi wako pia ila pole zaidi kwa kukosa uwakilishi mzuri bungeni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom