Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Siwezi ficha hisia zangu jinsi gani nakwazika kwa kukosa gazeti la mwanahalisi.Ki ukweli naichukia serikali kwa hilo,tena chuki mbaya sana.Sioni gazeti jingine ambalo ni worth my hard earned cents.Nimechoka nunua magazeti ambayo zaidi ya headings hakuna habari zinazodi highlights za JF.Nachukia kununua gazeti halafu baada ya kuscann natamani litupa.
Serikali ifungulie hili gazeti,we are hardcore fans wa hili gazeti na jinsi wanavyolifungia chuki zetu zinapanda beyond normal.Serikali wana sababu gani ya kulifungia kuliko radio na magazeti yalisoababisha uvunjifu wa kama tulivyowaona wakristu wakiwa terrorized?Iam afraid kama serikali na vyombo vyake wanajua wanachokifanya.
Nawashauri mwanahalisi sasa watengeneze website tofauti ili watu waweze subscribe kwa malipo ili waweze pokea news kupitia PDF format.It cheaper and personal na inaweza kuwa registered anywhere.This time nadhani itakuwa vyema content ziwe explicitly naked.
Nawakilisha kwa hardcore fans wenzangu.