jamani nahisi kuchanganyikiwa naomba mnishauri haraka kabla sijaingia mkenge.

dfreym

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
342
87
siku moja katika kusaka saka kwangu maiformation kwenye net nilikutana na tangazo la bahati nasibu ya freelotto. walichoniambia ukishiriki utashinda, na kushiriki ni bure. ah! mi nikashiriki then walichoniambia ni kwamba taarifa zitatumwa kwenye email yangu ambayo ndiyo niliyo isubmit kwenye subscription. Sa wamekuwa wananisumbua mmno kwamba nisizembee kwani si utani na wako serious hawajakosea.eti niko eligible to win

CERTIFICATION OF ELIGIBILITY
This is a Formal Notice of Won and Available to be Won Prizes!

I am thrilled to bring you this official notice which confirms The Awards Committee's certification of GODFREY MALIMA as a guaranteed eligible member. This is not a mistake. If you submit the winning entry in accordance with the Official Rules of FreeLotto you are guaranteed a prize award.

Even now, GODFREY MALIMA, you probably thought this could never happen that you, GODFREY MALIMA, of tz could become A BIG CASH WINNER. But it's absolutely true: ALL Cash Prizes won in the FL AWARD SERIES IV are 100% GUARANTEED to be paid to the confirmed winners.[/B][/I]

(G MALIMA MUSOMA tz $100,000
Giveaway Eligible to Win
G MALIMA MUSOMA tz $10,000
Fast Cash Eligible to Win
G MALIMA MUSOMA tz $1,000,000 Eligible to Win
G MALIMA MUSOMA tz $100,000
Pay off your
mortgage Eligible to Win
G MALIMA MUSOMA tz Luxury car Eligible to Win
G MALIMA MUSOMA tz $10,000,000 Eligible to Win)

hivyo nipeleke visa card number na cvv.
sa mi naogopa. nifanyeje nishaurini please.
 
Wewe wa wapi? kimbia mapema hakuna mtu atakupa free lunch ktk dunia ya leo ya hali mbaya ya uchumi.
 
Utachekea ******, ucdanganyike, You want all that for nothing, please be sincere to yourself
 
Duh, wewe umeanza lini kutumia internet? Cha kufanya mark hiyo email address kama spam na ikiwezekana wareport kwa email provider wako/wao.
 
siku moja katika kusaka saka kwangu maiformation kwenye net nilikutana na tangazo la bahati nasibu ya freelotto. walichoniambia ukishiriki utashinda, na kushiriki ni bure. ah! mi nikashiriki then walichoniambia ni kwamba taarifa zitatumwa kwenye email yangu ambayo ndiyo niliyo isubmit kwenye subscription. Sa wamekuwa wananisumbua mmno kwamba nisizembee kwani si utani na wako serious hawajakosea.eti niko eligible to win

CERTIFICATION OF ELIGIBILITY
This is a Formal Notice of Won and Available to be Won Prizes!

I am thrilled to bring you this official notice which confirms The Awards Committee's certification of GODFREY MALIMA as a guaranteed eligible member. This is not a mistake. If you submit the winning entry in accordance with the Official Rules of FreeLotto you are guaranteed a prize award.

Even now, GODFREY MALIMA, you probably thought this could never happen that you, GODFREY MALIMA, of tz could become A BIG CASH WINNER. But it's absolutely true: ALL Cash Prizes won in the FL AWARD SERIES IV are 100% GUARANTEED to be paid to the confirmed winners.[/B][/I]

(G MALIMA MUSOMA tz $100,000
Giveaway Eligible to Win
G MALIMA MUSOMA tz $10,000
Fast Cash Eligible to Win
G MALIMA MUSOMA tz $1,000,000 Eligible to Win
G MALIMA MUSOMA tz $100,000
Pay off your
mortgage Eligible to Win
G MALIMA MUSOMA tz Luxury car Eligible to Win
G MALIMA MUSOMA tz $10,000,000 Eligible to Win)

hivyo nipeleke visa card number na cvv.
sa mi naogopa. nifanyeje nishaurini please.

Usiwpe info zozote, futa hizo e-mail wanazokutumia. Ni matapeli hao, wapo sana kwenye mtandao wa Internet
 
:A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103:
dont even think about it.
 
Mie badeo kidogo nilizwe bahati nzuri niliwahi benki nika-block kila kitu...waogope hao jamaa kama ukoma.
 
Matapeli wako wengi.... mi niliamua kumvaa tapel mmoja aliyejidai wa kike na ni dume.
Nikatumia simu yake. Hahahaha, acha adai kuwa sijui ametoka...blah blah blah!
Wapuuzi tu hao. Unaweza kujifurahisha nao carefully au ukawatupa ktk shimo la takataka (spams)
 
Wakuu, hivi kuna watu bado hawako informed kuhusu freelotto na wizi wa jinsi hiyo? Hiyo hiyo google iliyokupeleka free lotto itakusaidia kujua kama you are being scammed au la!!! AKILI MUKICHWA!:biggrin1:
 
Ukiwapa ushuhuda wako utakua ni mfano ili wengine wasizidi kuibiwa....
Ila nahisi pia umetaja jina lako halisi.....(correct me then)
 
Aliyenacho ataongezewa yule asiye nacho hata kile kidogo alichonacho kitachukuliwa pia
 
Siyo siri nimefurahi mmno. kiukweli mmenifanya nijihisi truly niko home.
nahisi huu ndo mwanzo, na labla ni mungu tu ndo kanielekeza. kwani mi ni new member kwenye JF, na kiukweli nimeumiza kichwa vyakutosha kuhusu swala hili. na katika kutafuta tafuta google advantages na disanvantages, nikakutana na ushauri kuhusu CRDB kuwa visa cards zao ni fake. hii ilinifanya nitamani kusoma zaidi. matokeo yake nilijikuta naifurahia jf. hapo awali nilizoea tu kuiona, lakini sikuifuatilia. so i just wanna welcome myself. MALIMA, WELCOME WELCOME.

POST YA JANA ILIKUWA HII HAPA CHINI.

siku moja katika kusaka saka kwangu maiformation kwenye net nilikutana na tangazo la bahati nasibu ya freelotto. walichoniambia ukishiriki utashinda, na kushiriki ni bure. ah! mi nikashiriki then walichoniambia ni kwamba taarifa zitatumwa kwenye email yangu ambayo ndiyo niliyo isubmit kwenye subscription. Sa wamekuwa wananisumbua mmno kwamba nisizembee kwani si utani na wako serious hawajakosea.eti niko eligible to win

CERTIFICATION OF ELIGIBILITY
This is a Formal Notice of Won and Available to be Won Prizes!

I am thrilled to bring you this official notice which confirms The Awards Committee's certification of GODFREY MALIMA as a guaranteed eligible member. This is not a mistake. If you submit the winning entry in accordance with the Official Rules of FreeLotto you are guaranteed a prize award.

Even now, GODFREY MALIMA, you probably thought this could never happen that you, GODFREY MALIMA, of tz could become A BIG CASH WINNER. But it's absolutely true: ALL Cash Prizes won in the FL AWARD SERIES IV are 100% GUARANTEED to be paid to the confirmed winners.[/B][/I]

(G MALIMA MUSOMA tz $100,000
Giveaway Eligible to Win
G MALIMA MUSOMA tz $10,000
Fast Cash Eligible to Win
G MALIMA MUSOMA tz $1,000,000 Eligible to Win
G MALIMA MUSOMA tz $100,000
Pay off your
mortgage Eligible to Win
G MALIMA MUSOMA tz Luxury car Eligible to Win
G MALIMA MUSOMA tz $10,000,000 Eligible to Win)

hivyo nipeleke visa card number na cvv.
sa mi naogopa. nifanyeje nishaurini please.

THANKS TO ALL WHO ADVISED ME.
 
dont ever reply their mails.wanachukua your personall information.especialyy passwords on different acess such as Bank access.since watatumia e mail uliyoifanyia registration huko
bcareful
 
Back
Top Bottom