Jamani na mie mnikumbuke katika DUA zenu!!

kila la kheri mpenzi. mwenzio nimetoka kwenye shughuli hiyo juzi tu. So i understand how desperate u r!
 
Push..push ...push...pushkin:Cry::Cry::Cry::Cry::Cry:

Unatakiwa maombi tangu unafanya tendo la kutunga hiyo kitu
Siyo pale wakati wa kutoa tu
 
Push..push ...push...pushkin:Cry::Cry::Cry::Cry::Cry:

Unatakiwa maombi tangu unafanya tendo la kutunga hiyo kitu
Siyo pale wakati wa kutoa tu


Kimbweka maombi yalifanywa at the planning stage.....sasa nikuzidisha tu:frown:
 
Bwana awe nawe,
awe pia na mumeo,
Amiiina!
*Nimesikia upo Nai..ni hospitali gani nije nikuletee maua jamani!??

Thanks alot my dear...sipo Nai siku..naishi Kampala...DHL will still do...nikutumie address???:teeth::teeth::redfaces::redfaces::redfaces:
 
My prayers with u........
Hopeful nitaona ID yake hapa jf by 15th dec...:party:
 
haya mama!....
Nimerudi kwenye safu ya wanamaombi kwa kasi ya kimbunga.
Kesi yako ni nzito lakin kwa maisha ya kisasa imeonekana ''kupendwa sana''.
Bottom line nakuombea dua umtoe huyo kiumbe humo tumboni

ingawa kila nikiangalia tarehe za harus yako na siku ya kujifungua naona kama kuna uchakachuaji hapo hapo:party:
hahahahaha teamo bwana! ALL THE BEST SHISHI MUNGU AWE NAWE!
 
Kila la heri Shishi, nakuombea uweze kuepuka CS lakini kama daktari akisisitiza basi namuomba mola kila kitu kiende shwari.

God Bless You
 
Back
Top Bottom