Jamani..!!! Na Mbeya tena..???

Sasa dogo anatumia mti upi kutibu? Babu wa Loliondo yeye ndoto yake ni tangu 1991 na akazembea hadi alipokumbushwa mara kwa mara.

Huyu dogo ndoto yake hata mwezi haina na isitoshe kaoteshwa na mganga wa kienyeji sio MUNGU, watanzani angalieni mtanyweshwa visivyonyweka.

Yangu macho na masikio
 
Hii kali,wapi mwanzo wapi mwisho... Jamaa wa rombo alisema atatokea mtu wa tatu,je ndo huyo dogo?
 
:juggle:babu kijana,,,,,, siku za mwisho bado sana,,,,,,mh badoniponipo kwanza,sijazidiwa sana!!!
 
Mie hivi karibuni nitatangaza dawa, nitakuwa naitoa kwa kijiko cha chai....unaruhusiwa kunywa mwisho mara mbili tu!

Wabongo tuna mambo, na watatokea wengi manake watu wamegundua kumbe unaweza kupata sapoti ya wakuu wa nchi, ukala kiulaini....kaaaaaaz kweli kweli!
 
Back
Top Bottom