jamani (mzungu) anacheza na chui...7 7 !!!

Linamo

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
9,976
24,488
wanajamvi Hali zenu!
Hawa ngozi nyeupe wana maajabu aina yao maana angekua babu yangu angeambiwa mwanga mkubwa!
Nimemuona anacheza nao chui...tena chui hao wapo wawili wamemfanya rafiki!
Mh! Ingekua wewe ingekua vipi?
Nawakilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom