Elections 2010 Jamani mwnaza kunani?

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Kwani si tayari mwanza kuna nini kinaendelea? Tunaomba mtupe habari zaidi,na ikiwezekana waliopo mwanza lindeni kura kwa nguvu zozote zile kwani hata kama kikwete yupo mwanza hatuwezi kuvumulia kunyang'anywa jimbo
peoplesssssss powerrrrrrrrrrrrrrrrrrr


mapinduziiiiiiiiiiii daimaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom