Jamani mwenye updates kuhusu walokosa ajira za walimu wa shahada!

Ptz

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
541
384
Naombeni kujuzwa kwa mwenye uptodates kuhusu wale walimu wenye shahada waliokosa ajira! Mke wangu ni mmoja kati ya waliokosa,maana hadi sasa kimya kimya, hakuna tamko au kauli yoyote toka wizarani kuhusu hatima ya hao walimu hao. PLEASE mwenye uptodates anipatie!
 
Back
Top Bottom