Jamani Mume wangu Ananiogopa...

Rafiki una mambo! unanitafuta thread zote?
Mzima lakini?
Nakutafuta kotekote..... mpaka kwenye PM:becky:

Mzima sana, nakuomba kwa dakika ishirini ili nithibitishe kauli yako rafiki.
 
mwanamke kujikubali babu weeeh, mie nahisi anajifeel inferior kwakuwa anaishi kwako.vp anakazi na kuchangia paying the bills au kilakitu waprovide weye?na kwann aje kuishi kwako?
Kazi yake ni ya kawaida coz kipato chake ni mara tatu ya kwangu, kipato sio issue kwangu kwani kila kitu namuweka wazi, ila kwa bahati mbaya huwa sina akaunti mshiko wangu natunza ktk akati y amy first born ila kadi natunza mimi, na hii nimeifanya in case nikirudi kwa muumba sihitaji ma'daughtesr wapate shida.
 
Mimi mwenyewe najiweza kwa kila kitu, kwa umri yeye kanizidi miezi 3 tuu tumezaliwa mwaka mmoja. Nimempa uhuru wa kutawala familia yetu na kila kitu kwangu kasoro hati ya nyumba tuu, na bado hajiamini. anyway may be baadae atakaa sawa

Huo uwezo ulio nao wa kujiweza kwa kila kitu ndio sumu yake, hana uhakika na maisha endelevu kwako, anakuona kama Bosi wake vile. Maisha ni kusaidiana na sio mtu kutoa kila kitu na kumwambia mwenzio yuko huru kutawala katika familia isipokuwa hati ya nyumba; na Mapenzi ya dhati hayategemei uwezo wa Kipesa !!! Na usipokuwa makini waweza kuta pesa unayompatia inatumika kumstarehesha Mdada mwingine ambaye siku ukimwona tu, utaanza kuhudhuria clinic ya moyo, maana utajiuliza umepungukiwa na nini !!! kuanzia shape mpaka kipato !!! Aidha, mwanaume ambaye mmezaliwa mwaka mmoja, wewe lazima utaonekana mtu mzima kwake maana mtoto wa kike hukua haraka kuliko wa kiume.
 
  • Thanks
Reactions: awp
Cheki labda kwapa na sehemu nyingine zinatoa harufu
Asante Elli, waswahili husema hutakiwi kujisifia ila binafsi najisifia, napenda saaaaana usafi maybe kwavile ni motorolla bapa teh
 
Last edited by a moderator:
Habari wana jf,
Jamani mwenzenu nimepata mtu mzima mwenzangu wa kuliwazana cha jabu huyu kaka tunapokuwa tuko faragha namuona hajiamini hata kidogo, licha ya kumwachia mwili wangu wote lakini, bado ananiogopa. Najitahidi kumapa malavidavi yote bado hajiamini,
pili tatizo nililomgundua uwezo wa kuplay game for 20minutes hawezi, yaani nikibadilisha mkao tuu kosa inadidi uibust, je wapenzi ni tatizo gani? maumbile au kwa vile ananiogopa? ushauri wenu tafadhali

Hata kubadilisha mkao kila saa kuna mharibia mwanaume frequency haswa kama alikuwa kuna button alikuwa anaibonyeza na kumpa matokeo stahili. Kwa hali kama ukibadili mkao bila men kukuambia utakuwa umeharibu saana na hii ndo inapelekwa jamaa kuipoteza nguvu za kuwika
 
  • Thanks
Reactions: awp
Amahitaji msaada wa kisaikolojia mwenzio, mdaidie aende kwa sexologist au saikologist
 
  • Thanks
Reactions: awp
webondo maswali ya snochet nimeyajibu fuatilia mtiririko utaona. tigo sio issue kwangu tatizo matumizi hayajui

We Dada yangu awp, hii nayo ni mbaya ni chukizo kwa Mungu; yaani mimi Mdada akiniambia anataka kunipatia 0713, kaniambia kuwa hanihitaji !!!
 
Last edited by a moderator:
We Dada yangu awp, hii nayo ni mbaya ni chukizo kwa Mungu; yaani mimi Mdada akiniambia anataka kunipatia 0713, kaniambia kuwa hanihitaji !!!
sawabho, najua Mungu hapendi lakini hii yote nikujaribu kutaka kumwondolea wasiwasi labda atafunguka na kuondoa woga wake, hawezi kutatua marinda yote.
 
Last edited by a moderator:
sawabho, najua Mungu hapendi lakini hii yote nikujaribu kutaka kumwondolea wasiwasi labda atafunguka na kuondoa woga wake, hawezi kutatua marinda yote.

Dada awp Kama hujampatia usijaribu, tumia tu mbinu za kisaikolojia kama tulivyokushauri hapo juu, wakati wa kutaka kubadilisha mkao mshirikishe, mwulize kama anapenda huo mkao au angependa style gani, usimpeleke peleke kama unmchezesha rigwaride. Wengine siku ukimpatia 0713 na akatoka yale mambo, ndio utakuwa mwisho wake kwako. Aidha, 0713 inaweza kusababisha kuziba kwa mrija mpaka aende kuvutwa hospitalini, na akifika tu Dr. anafahamu kilichosababisha hali hiyo. Ni sawa na wale wanoenda kule uvinza, akiugua ule ugonjwa wa mdomo kila mtu anaelewa kuwa ni ugonjwa wa uvinza !!!!
 
We mdada kwanza badilisha fikira zako, huyo sio mume sema mchumba au mpenzi. Halafu mbona ni kama wew ni mtumwa wa mapenzi, yaani unafikia hata hatua ya kutoa 0713.... That is too much, achana na uchafu wa 0713... mjiheshimu na hiyo ni chukizo kwa muumba
Halaf kumbuka mwanaume hawez kuwa huru kwa kukaa kwa mwanamke yaan hiyo ni asili yetu, nikupe mfano, kuna jamaa mmoja na mkewe wanafanya kazi kwenye shirika la dini ambalo hutoa nyumba kwa wafanyakazi, lakin mambo yalipoenda vizuri kila mmoja akajenga nyumba yake.Mama akajenga Mbezi beach na baba Makongo juu, mpaka sasa miaka imepita wameshindwa kuhama nyumba ya shrika kwa sababu kila mmoja amegoma kuhamia nyumba ya mwenzake.
Sas kwako wew kama unataka huyo mchumba wako awe huru anzishen miradi au mradi wa pamoja na mjenge nyumba pamoja, au kwa kuanzia mnaweza kuhama nyumbani kwako hata mpange sehemu nyingine. Na katika kupanga umpe uhuru huyo kijana kutafuta nyumba na kuamua chochote, nakwambia baada ya hapo atabadilika.
Yaani hiyo ndo sababu na hata umuulizeje hawezi kufunguka kabisa, lakini we tafuta namna ya kumconvince kwa vyovyote mhame hapo kwako utaona tu.
 
  • Thanks
Reactions: awp
Asante kwa ushauri, nimejaribu na ninaendelea kumchimba anatoa sababu nusunusu. Labda kwa vile anakaa kwangu

Huyo hakupendi hana pesa ya kulipa pango, so inabidi ajilazimishe hana la kuogopa lolote!
 
  • Thanks
Reactions: awp

Similar Discussions

Back
Top Bottom