Jamani Mume wangu Ananiogopa...

Kumbe sababu unayo bidada, unachotakiwa kufanya ni kumuaminisha kwamba pale ni kwake na asiwe na wasiwasi, wanaume wanapenda kutoa order coz wao ni vichwa vya familia so usimbane eti kwa kuwa anaishi kwako, mpe uhuru awe baba wa familia au sometimes unampiga mkwara, manake sisi nao!!

Asante kwa ushauri, nimejaribu na ninaendelea kumchimba anatoa sababu nusunusu. Labda kwa vile anakaa kwangu
 
jibu maswali yafuatayo kwanza
1.mnalingana umri?nani mkubwa?
2.mnalingana miili?nani mkubwa?
3.wewe ni polisi/mwanajeshi?
4.mnatumia muda wenu kuzungumza au ni kudinyana tu?
5.una bezi?
6.unatumia njia gani ili kuwa attractive kwake kila mkionana?

....jibu unayohisi ni muhimu...yatasaidia uweze kupata maoni zaidi...
 
Inaelekea una vurugu sana wewe kunapo sita kwa sita na kubadilisha mikao bila taarifa, nenda taratibu. Fanya yafuatayo kwa faida yako. Mpe mzee wako chakula na kinywaji kitakachompa hamu zaidi. Hakikisha mwili wako unakuwa safi na wakunukia vizuri ili kumuongezea hamu. Lugha nzuri na sauti ya mahaba (miguno) ni muhimu sana sana mchezoni. Mruhusu achague staili ya kuanzia na ukitaka kubadili mweleze kimahaba. Hakikisha mic unaishika na kuiweka taratibu mahali pake wewe na kutoa mguno wa mahaba inapofika. Jaribu hayo unipe majibu kama kweli anakuogopa. Mara nyingi wote wanaolalamika makosa huwa ni yao wenyewe.
 
Habari wana jf,
Jamani mwenzenu nimepata mtu mzima mwenzangu wa kuliwazana cha jabu huyu kaka tunapokuwa tuko faragha namuona hajiamini hata kidogo, licha ya kumwachia mwili wangu wote lakini, bado ananiogopa. Najitahidi kumapa malavidavi yote bado hajiamini,
pili tatizo nililomgundua uwezo wa kuplay game for 20minutes hawezi, yaani nikibadilisha mkao tuu kosa inadidi uibust, je wapenzi ni tatizo gani? maumbile au kwa vile ananiogopa? ushauri wenu tafadhali

Shida ni aina ya mwili wako, mpe pole mwenzetu
 
Attachments

  • mguu wa bia.jpg
    mguu wa bia.jpg
    11.3 KB · Views: 351
Smile jamani! Hivi mfanye romance, mje muanze game hadi aje akufukishe mlima kilimanjaro, bado ni dk 20 tu? hapo si utatoka kapa best, Smile inaonekana wewe muziki wa kikubwa huuwezi

khaaa sana sasa hapo mtakuwa mnafanya nini?
wewe ngapi game lako?
 
mpe 0713 labda atazinduka.
Kaka jogoolakigoma nilijaribu kumsukumia huko akabaki kucheka tuu, kila ninapojaribu kumwuliza unataka nikufanyie nini hajibu anacheka tuu. nitajaribu tena leo, nipo serious!
 
Last edited by a moderator:
Smile jamani! Hivi mfanye romance, mje muanze game hadi aje akufukishe mlima kilimanjaro, bado ni dk 20 tu? hapo si utatoka kapa best, Smile inaonekana wewe muziki wa kikubwa huuwezi
mi game naondoa romance
 
No! Plz Don't do that, mapenzi ni kufundisha na kueleweshana, ukija ukampata mwingine asiyejua utamuacha tena?

MadameX umenena, nitafanya utaratibu nijiondoe
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: awp
jibu maswali yafuatayo kwanza
1.mnalingana umri?nani mkubwa? Tumepishana miezi tuu kanizidi miezi mitatu
2.mnalingana miili?nani mkubwa? Kidogo nimemzidi
3.wewe ni polisi/mwanajeshi? Hapana
4.mnatumia muda wenu kuzungumza au ni kudinyana tu? Kudinyana sio shibe muda mwingi huwa napenda kuongea naye na kupanga mambo ya familia yetu.
 
Habari wana jf,
Jamani mwenzenu nimepata mtu mzima mwenzangu wa kuliwazana cha jabu huyu kaka tunapokuwa tuko faragha namuona hajiamini hata kidogo, licha ya kumwachia mwili wangu wote lakini, bado ananiogopa. Najitahidi kumapa malavidavi yote bado hajiamini,
pili tatizo nililomgundua uwezo wa kuplay game for 20minutes hawezi, yaani nikibadilisha mkao tuu kosa inadidi uibust, je wapenzi ni tatizo gani? maumbile au kwa vile ananiogopa? ushauri wenu tafadhali

Pole Awp but nadhani iko haja ya kukaa na kuvunja ukimya,sema naye taratibu na kwa upole tu huenda akafunguka na ukajua mengi ya kurekebisha au ya kumsaidia ili kila mmoja apate furaha ya kuwa pamoja na kumfurahia mwenzake.Ni hayo tu!!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: awp
Habari wana jf,
Jamani mwenzenu nimepata mtu mzima mwenzangu wa kuliwazana cha jabu huyu kaka tunapokuwa tuko faragha namuona hajiamini hata kidogo, licha ya kumwachia mwili wangu wote lakini, bado ananiogopa. Najitahidi kumapa malavidavi yote bado hajiamini,
pili tatizo nililomgundua uwezo wa kuplay game for 20minutes hawezi, yaani nikibadilisha mkao tuu kosa inadidi uibust, je wapenzi ni tatizo gani? maumbile au kwa vile ananiogopa? ushauri wenu tafadhali
Mtoto wa Kike lazima uwe na haya, inaoneka we huna Haya/Soni, unamfanyia full ukauzu, hata mie lazima ningejiuliza mara 2 2, mtoto wa kike lazima u pretend, hata kujifanya unaumia ilhal huumiii wala nn., especially siku za mwanzoni, namhurumia huyo Mtu mzima mwenzio kwa kukutana na Gube Gube
 
  • Thanks
Reactions: awp
Hawezi kujiamini wakati unaongoza familia kimapato......

Asante kwa ushauri, nimejaribu na ninaendelea kumchimba anatoa sababu nusunusu. Labda kwa vile anakaa kwangu
 
  • Thanks
Reactions: awp

Similar Discussions

Back
Top Bottom