jamani msaada wenu kuhusu mkopo

SAMORE TOURE

Senior Member
Aug 5, 2012
116
9
hivi jamani ;; in case nikapewa mkopo vitu gana vya msingi nivifanye ili nisihangaike incase nikipewa mkopo?
 
incase ukipewa we ni pm nikuelekeze jinsi ya kuitumia incase hautapew we vumilia tu!
 
Ukipewa tu utajua matumiz yake hela hazinaga ivo mku...unaweza kuzipangia utafanya ivi na ukizipata mipango/matumiz yote unayasahau unazifanyia mengne.that's how money is..!
 
Back
Top Bottom