Jamani msaada tutani maneno haya

HAZOLE

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,551
708
Naomba kujuzwa maneno haya kwa kiswahili maana lugha yetu hii ni changa lakini tata baada ya kuathirika kwa nchi yetu kutufundisha kwa kutumia mitaala na lugha za nje;
1. Neno diploma
2. Advanced diploma
3. Degree
3. Postgraduate diploma
4. Masters
5. Phd
 
kwa ninayoyafahamu kwa uhakika;
Diploma-Stashahada
Advanced diploma-Stashahada ya juu
degree-shahada
 
Diploma = Stashahada, cheti
Advanced Diploma = Stashahada ya Juu
Degree = Shahada
Master's Degree = Shahada ya Uzamili/ya Pili
PhD = Shahada ya Uzamiv(f)u
 
Diploma = Stashahada, cheti
Advanced Diploma = Stashahada ya Juu
Degree = Shahada
Master's Degree = Shahada ya Uzamili/ya Pili
PhD = Shahada ya Uzamiv(f)u

Hapo kidogo kuna utata Cheti ni certificate!
 
Diploma = Stashahada, cheti
Advanced Diploma = Stashahada ya Juu
Degree = Shahada
Master's Degree = Shahada ya Uzamili/ya Pili
PhD = Shahada ya Uzamiv(f)u
Uko sahihi ila hiyo cheti ni certificate kwa kikristo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom