jamani msaada namna ya kununua bando kwenye modem ya zantel

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Naombeni mwenyekufahamu namna yoyote ya kununua bando kwenye modem ya zantel.nimejaribu kuwapigia sim hawapokei
 
kuna njia 2 kama una line ya zantel au huna

kama una line ya zantel

Utapiga *149*07# then utafata maelekezo

kama huna line ya zantel

Andika message iwe mfumo huu

Mobile no (space) plan (space) bundle

Then unatuma kwenda 0776300300

Neno plan halichange mfano nataka bundle ya bronze kwa sh 4000 nipate mb 600 ntatuma hivi
Kwanza naandika
0776123456 plan bronze

Then natuma kwenda 0776300300

Bundle zao hizi hapa ili uone keywords

Ezynet.jpg
 
Back
Top Bottom