jamani moderm ya airtel model.e1550,ina ninyima raha !!msaada wakuu

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,314
13,279
mimi kwa sasa nipo dar maeneo ya yombo buza ,huku intanet ya airtel ipo slow mno yaani ni kama hamna 2!je tatizo ni hii moderm au eneo?kwani hapa dar mtandao usumbue?nimejaribu zantel ni gusa anate ila ni wezi nimeweka 10,000,nimefungua mail tu naambiwa 500Mb zimekwisha!na wao huna uwezo wa kuangalia salio,kama unavyoweza kufanya kwenye airtel!
 
wizard yani 500MB ziishe kwa kufungua email tu? Unatumia operating system gani? Kama ni windows basi labda kuna windows updates or background downloading activities going on ndiyo maana hizo 500MB zimeisha.jaribu kwanza kuangalia control panel then disable windows updates.pia hiyo inaweza kuchangia airtel kuwa slow
 
mimi kwa sasa nipo dar maeneo ya yombo buza ,huku intanet ya airtel ipo slow mno yaani ni kama hamna 2!je tatizo ni hii moderm au eneo?kwani hapa dar mtandao usumbue?nimejaribu zantel ni gusa anate ila ni wezi nimeweka 10,000,nimefungua mail tu naambiwa 500Mb zimekwisha!na wao huna uwezo wa kuangalia salio,kama unavyoweza kufanya kwenye airtel!

Internet yako ipo slow cuz eneo lililopo halina 3G kwa hiyo unapata connection GPRS/EDGE. Ukiwa eneo lenye 3G utapata speed ya internet kama kawaida
 
hata me nakubaliana na wizard
kuna dada ana zantel aliweka elf kumi akapata izo mb mia tano nikisema dk kumi ziliisha ntakuwa mwongo, yy alikaa nusu saa kama sio dk arobaini akapata msg zmeisha akanipandisha kwenye bajaj tukaenda wote mpk zantel makao makuu. wao wakwambia hakuwa amejiunga kwenye kifurushi cha mb mia tano badala yake ilikuwa kwenye pay as you go.
kwaiyo na wewe angalia, unaweza kukuta haikukubali ukaendelea kutumia bila kujua.
so far airtel is the best, haina longolongo,nipo tegeta na napata three g, unachotakiwa kufanya ata ukiwa yombo ni kuweka settings za "three g only" kwenye modem yako.
jaribu kama itasaidia.
 
Back
Top Bottom