Kama kawaida najongea ktk hili jamvi ila mwenzenu nina matatizo sana yaani kila demu ninae mpata hatukai muda mrefu ananimwaga,kama kuhonga naonga,kukalua ndo usiseme,halafu ni hb kinoma sasa sijui mtanisaidiaje wana jf?
Tatizo ni kwamba unakutana na wanawake makini, Mijitu inayoendekeza U-handsome boy hupigwa chini na wanawake makiniKama kawaida najongea ktk hili jamvi ila mwenzenu nina matatizo sana yaani kila demu ninae mpata hatukai muda mrefu ananimwaga,kama kuhonga naonga,kukalua ndo usiseme,halafu ni hb kinoma sasa sijui mtanisaidiaje wana jf?
Au mchafu? unawachefua roho zao? ebu tafuta japo rafiki yako mwambie aulize kwa hao wanaokukimbia manake sio rahisi kukimbiwa kama kweli hizo sifa ulotaja ndio unazo ukitoa u HB......Kama kawaida najongea ktk hili jamvi ila mwenzenu nina matatizo sana yaani kila demu ninae mpata hatukai muda mrefu ananimwaga,kama kuhonga naonga,kukalua ndo usiseme,halafu ni hb kinoma sasa sijui mtanisaidiaje wana jf?
Nenda kwa mganga-sumbawanga (kama ni mademu ndo wanaokusumbua) , Huo ndo ushauri pekee.
Maana kuna tofauti kubwa sana kati ya DEMU na MKE, Igekuwa ni mke basi nigekushauri vingine. Pole sana.
am speechless nisiku mbwamwita25 bure.....
Huku ndio umeambiwa waganga wa mademu wanapatikana???
Pigia ---------------------------------
Mweeeeeeee!wajamen............!Chukua shombo la samaki weka kwenye sufuria chemsha kisha funika weka chini ya kitanda kwa muda wa wiki moja baada ya muda huo kupita chukua kikombe uwe unakunywa asubuhi na jioni.
Duh UHB tena umetoka wapi hapo
Una tatizo either unajipenda mwenyewe sana na kwa kuwa ushaambiwa wewe ni handsome ndio balaa kabisa
Madem unaowapata unaishia kujisifia mwenyewe kuwa wewe ni HB badala ya kuwaonyesha upendo