Jamani mmeyasikia haya!!!!!?

Kwa hiyo wale wanaojiandaa kugombea uraisi 2015 imekula kwao?? Lol!

Hahahahah!!! pia mafisadi waliojilimbikizia mali wazirudishe maana hazina manufaa tena... si keshokutwa tu jamani!!!!!!!!!!!:lol::lol::lol::lol::lol:
 
Wewe ndo walewale wanaosema wasichojua, kwanza hayo madhehebu uliyotaja imani zake hazifanani!, pili؛‎ angalia sasa mbele ya kila misikiti ya dar kuna waganga wa kienyeji wanaosali sara tano. Tafakari kabla ya kubwabwaja japo naona udini umekujaa.
Halafu wana jamii hivi tunajiuliza kweli " kwa nini haya madai ya kuoteshwa na mungu, ama kuwa mwisho wa dunia unakaribia au mti fulani dawa ya magonjwa sugu" yanatokea upande mmoja tu wa Imani? (kama si KKKT, basi EAGT, au RC) lakini si Muslims??(Shia, Ahmadiya, Sunni, Ibaadhi)??? Hebu tutafakari jamani???
 
Ina maana wewe unajifanya ni kipofu au ni kiziwi kwamba humwonagi sheikh Yahya akitabilia watu vifo, na ndio anaempa majini Rais wetu ili yamlinde? unajifanya ulijuwi hili? na hawa wanaosema wanatibu kisunna ni kina nani? usipende kuongea kama kasuku, kabla ya kupost kitu ni vyema ukaushirikisha ubongo wako kwanza.

kaazi kwelikweli
 
Biblia ninayosoma ndio inayo nipa imani Mungu yupo.

Biblia hiyo hiyo inasema Yesu Kristo ni mwana wa Mungu.

Katika biblia hii kuna maandika yasemayo ''Hakuna ajuaye siku wala saa nitakayorudi, Isipokua baba tu''

Yaani Mungu mwenyewe hakumwambia hata Yesu mwenyewe siku ya kurudi duniani, Leo anakuja kumuotesha huyu jamaa?

Yote haya yanatokana na babu wa Loliondo!! Watu wamesikia kaoteshwa na Mungu Dawa tumeamini kwahiyo wengine wanataka kujizolea umaarufu kwa njia hiyo hiyo! Let me just say that they are too late!!!
 
Biblia ninayosoma ndio inayo nipa imani Mungu yupo.

Biblia hiyo hiyo inasema Yesu Kristo ni mwana wa Mungu.
Mungu hawezi kuwa na mwana.
Tena kwa mtume ISA ni makosa makubwa...nakukumbusha au nakuelimisha.
1-Baba yetu Adam nae umwite vipi?
2- Mama yetu BI Hawaa utamwitaje?
 
mungu hawezi kuwa na mwana.
tena kwa mtume isa ni makosa makubwa...nakukumbusha au nakuelimisha.
1-baba yetu adam nae umwite vipi?
2- mama yetu bi hawaa utamwitaje?

Wewe unaumia nini!!?
Sasa kama mimi naamini ni Mwana wa Mungu unataka unilazimishe niamini unachoamini wewe wakati najua upo wrong?

Kwa case unayosema Mungu hawezi kuwa Mwana, je ni sahihi kumwita Adam Baba, alikuzaa?
 
Mungu hawezi kuwa na mwana.
Tena kwa mtume ISA ni makosa makubwa...nakukumbusha au nakuelimisha.
1-Baba yetu Adam nae umwite vipi?
2- Mama yetu BI Hawaa utamwitaje?

Hapa tukianzisha malumbano mwisho hakuna,

Naomba nikwambie tunaishi kwa imani, na kila mtu ana imani yake.

Imani yangu chimbuko lake ni biblia, Ninaamini Yesu ni Mwana wa Mungu wewe imani yako inachimbuko lake ambalo sio biblia(from my judgement) Unaamini Mtume Muhamad S.W.A.

Ndio maana nilianza kutoa angalizo la chimbuko la Imani yangu, so please never waste your time on these kind of arguements.

sawa?
 
Mungu hawezi kuwa na mwana.
Tena kwa mtume ISA ni makosa makubwa...nakukumbusha au nakuelimisha.
1-Baba yetu Adam nae umwite vipi?
2- Mama yetu BI Hawaa utamwitaje?
jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza,unaposikia mungu mwana si kama vile alivyo ridhi na babaye JK,kama vile ulivyo mwili na viungo vyake,ndivyo ilivyo hali ya UUNGU na nafsi zake tatu,mungu baba,mungu mwana na mungu roho mtakatifu.
 
hi issue ya mindset tu hamna lolote hapo. lakini nashangaa wanajf mnaanza kuonyeshana tofauti zenu za dini na mapokeo yenu ya kiimani badala kujenga mtabomoa. kwa mungu hakutakuwa na hizi dini bali utaulizwa kama ulitimiza wajibu wako uliotumwa kwayo
 
inatisha sana na kusikitisha, yn aliposema apigwe mawe mpaka afe, nilisikia kusisimka mwili. jamani lbda kweli??????? mh!!

sikuwahi kufikiri wala kuamini kama kweli Watanzani tunaongoza kuamini supernatural believes..i mean demons..magics..spirituals..so forth, kwetu sie RCs tunaamini hyo siku haijulikani hata kwa malaika ...nyinyi mnaamini katika nini?make huyu hana tofauti na Sheikh Yahya bin ...
 
hata ukiniambia kuwa kiama kesho nisawa kwangu maana hivi sasa we are leaving in Hell kama hujui na ukitaka kuhakikisha pita kariakoo saa tano usiku, so afahal ambao wako safi waende kwa mola kama yupo na wachafuwachafu kama Downs waka chomwe moto kwa mafuta ya majenereto yao.
 
inatisha sana na kusikitisha, yn aliposema apigwe mawe mpaka afe, nilisikia kusisimka mwili. jamani lbda kweli??????? mh!!

sikuwahi kufikiri wala kuamini kama kweli Watanzani tunaongoza kuamini supernatural believes..i mean demons..magics..spirituals..so forth, kwetu sie RCs tunaamini hyo siku haijulikani hata kwa malaika ...nyinyi mnaamini katika nini?make huyu hana tofauti na Sheikh Yahya bin ...
 
Wewe unaumia nini!!?
Sasa kama mimi naamini ni Mwana wa Mungu unataka unilazimishe niamini unachoamini wewe wakati najua upo wrong?

Kwa case unayosema Mungu hawezi kuwa Mwana, je ni sahihi kumwita Adam Baba, alikuzaa?

Ni kweli siwezi kukulazimisha uamini vile ninavyoamin...!
Pia siwezi kukuacha upotoshe vile najua si sahihi unayoyaongea.
Baba hata MTU mkubwa yeyote ntamwita. Ila mnyama na vitu vingine siwezi kuviita BABA.
Baba ni yule anaeweza kumzalisha mwingine(ke).
Sasa MUNGU atamzalisha nani? Maajabu mengine haya!.
 
he!makubwa.ina maana Mungu amehairisha kiama cha 2012?coz wengi we2 wanaamini hivyo.mh!acha tusubirie tuone hiyo siku ikifika.lkn kwa nijuavyo Mungu anasisitiza kusoma sasa nashindwa kuelewa hilo jambo la kumsimamisha mtoto shule ili ajiandae 4 ufalme wa mbinguni ambao hatuna hakika kama ni kweli utakuja on dat day!ikumbukwe ya kuwa vitabu vya Mungu vyasema hakuna ajuaye siku wala saa,....sasa hapo nashindwa kuelewa.labda ni kweli.....:gossip:
 
huyu ana mapepo na itakuwa vizuri aombewe ili Mwenyez Mungu amnusuru na mapepo hayo, kama co pepo basi ni chiz
 
Hapa tukianzisha malumbano mwisho hakuna,

Naomba nikwambie tunaishi kwa imani, na kila mtu ana imani yake.

Imani yangu chimbuko lake ni biblia, Ninaamini Yesu ni Mwana wa Mungu wewe imani yako inachimbuko lake ambalo sio biblia(from my judgement) Unaamini Mtume Muhamad S.W.A.

Ndio maana nilianza kutoa angalizo la chimbuko la Imani yangu, so please never waste your time on these kind of arguements.

sawa?
Si sawa!
Huwezi eneza upupu hapa!
Pia usiwe na jazba humu tunaweka mambo sawa!
Imani kwa mtume Muhammad s.a.w ni kua yeye ni mtume wa mwisho. Imani yangu ni ISLAM imani ya mitume na manabii wote wa ukweli.
Ili ujue Imani ya ww kua Yesu ni mwana wa Mungu hebu soma hapa Luke 4:41.
Si kuleta vitu havina evidence!
 
Back
Top Bottom