Jamani mkome kumuandama Makamba!

Papa D

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
753
182
Makamba anafaa sana kuwepo kwenye hicho cheo alicho nacho ili asaidie kuiondoa haraka ccm madarakani. Kwa sababu hiyo NAAMURU RASMI KWAMBA wana JF muache kumuandama isipokuwa mchocheeni zaidi ili apaze sauti yake itakayosaidia kupata ukombozi wa kweli!!!

NAWASILISHA!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom