"Jamani mke wangu,huu ni ulafi!!...

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,702
. . . . Ilikua ni leo wakati nimerudi mapema baada ya kwenda kijiweni na kukuta leo hakuna kibarua cha kuponda kokoto,tajiri alikua hajapata tenda.Nikaja mpaka home na kujilaza kwa machungu nikijua siku ya leo itakua ngumu sana,si hakuna hela ya kula!Wakati nipo ndani wapangaji wenzangu walijua sipo,pembeni ya chumba ninachoishi nimepakana na jamaa mmoja ambae ameoa,muda ule jamaa hakuwepo,alikuwepo mkewe.Ndipo nikiwa ndani nilisikia yule mke wa jamaa aliepanga chumba kinachopakana na changu akipata mgeni.Mgeni yule alikua ni dada ambae baada ya kumsikia sauti nikamfahamu,nyumba tuliyopanga haina siling bodi hivyo nilisikia yote waliyoongea. . . . . . . . .Yule dada mgeni baada ya salam na story kidogo akamwambia mwenyeji wake,"Mwenzangu ndoa yangu inanishinda" mwenyeji akamwuliza,"kulikoni?"dada mgeni akajibu "Si unajua ndoa yangu na mume wangu mlokole inatimiza miezi sita kesho,mh,yaani mimi na mume wangu kila tukifanya mapenzi,akipiga bao moja tu hataki kurudia,nikimwambia sijatosheka ananiambia,mke wangu maandiko yanasema tuwe na kiasi,tukizidisha ni ulafi.Na imekua ndo kauli yake kila siku,mi nimechoka"!Yule mwenyeji alitoa mguno wa mshangao kisha akampa pole,walizungumza mengi ila mwisho yule mke wa mlokole alisema "nampa miezi 6 asipojirekebisha ataisoma namba"kisha nikasikia mlango unafunguliwa kukawa kimya. . . . , .Nikajiuliza;hivi na ushamba wangu kumbe box manyoya nayo inaliwa kwa kiasieeeee au nyie mnasemaje waungwana?
 
mhm...huyo anapitiwa mbavuni sasa hivi...mke anataka yeye anaringa. atawapa wanaotaka raundi nyingi
 
Eiyer, nakubaliana na The Boss, lol! Except that kwao ni tendo la ndoa sio ngono.

Tendo la ndoa ni ngono,tofauti ni jina tu.Mtazamo wa the boss una makengeza!
 
Last edited by a moderator:
mhm...huyo anapitiwa mbavuni sasa hivi...mke anataka yeye anaringa. atawapa wanaotaka raundi nyingi

Itakula kwake,na hivi wanasema eti wapo wanaozisimamia kama baiskeli!
 
Hi hny!
Nafikiri ulokole has nothing to do with the man's libido. Ni mchovu tu basi, ila kwa vile they know how to quote verses in almost everything basi katumia hiyo chance kufichia udhaifu wake. Mbaya kwake kwakuwa, the wife hasn't buy that one!
 
mchovu kama nanihii...lol
 
Muda si mrefu mume mlokole atajikuta analia na moyo maana wasiokua na kiasi(walafi) watamsaidia kazi!
 
Mhh Kazi ipo, kama k#t*mb@n@ kuna kiasi. Anajitafutia kwa makusudi kusaidiwa na vidume vya mbegu.

Bazazi!
 
Hawa walokole inaonyesha wanapenda sana ngono,kuna mmoja tuna fanya naye kazi kaolewa juzi kati akiwa na mimba ya miezi 6,nikajiuliza ina maana hawa walikua wana fanyana kabla hawajaoana,yaani hadi noma maana ana wiki ya tatu tokea wafunge ndoa mtumbo huoooo.
 
Hi hny!
Nafikiri ulokole has nothing to do with the man's libido. Ni mchovu tu basi, ila kwa vile they know how to quote verses in almost everything basi katumia hiyo chance kufichia udhaifu wake. Mbaya kwake kwakuwa, the wife hasn't buy that one!

Hi swt!Yes jamaa anaweza kuwa ni mchovu au akawa kweli anayachukuli maandiko kihivyo. . . . Nina uzoefu na hawa watu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom