Jamani mke wangu amekiri alinisaliti!!

kaka cha msingi ni ushauri hili tatizo ni la mdogo wangu na sii utani

Yaani kwenu hakuna mwenye akili hata mmoja ndo maana mdogo wako hajui jibu na wewe boga kubwa la bure unatuletea humu. Namuhurumia huyo dada akizaa na mdogoako ataongeza Boga jingine Tz itazidi kuwa nyuma. Mlete huyo dada tumshauri sio nyie.
 
ni kweli ndugu ila wazazi wa kijana wamekataa na wamemwambia binti kuwa wanamtambua yeye tuu na kama kijana atamuacha na kuoa binti mwingine atafute wazazi wake wapya na wala asikaribie kwao

UBOGAZ ulianzia kwa wazazi? Nyie ndo basi kabisa mtoto wa pili huyo dada atazaa na shambaboy nimemstukia ameshawasoma
 
Aendelee naye tu, sioni sababu kwanini amwache...yeye alipomrudisha kwao alitegemea nani akamliwaze?
 
Hellow wana-mmu. hali inamwumiza sana alikuwa na mpenzi alimsomesha mpaka form six na kumgharamikia kila kitu na alipomaliza alimfungulia duka la vipodozi akalifilisi kwa kuwahonga wanaume ndipo alipoamua kumfurudisha kwao, alikaa miezi miwili na alilazimisha kurudi baada ya mda mfupi alipata ujauzito ambao alidai ni wake. Mwisho alizaa mtoto wa kike na jana katika hali isiyo ya kawaida mke wakd amekiri alipomrudisha kwao alimsaliti kwa kutembea na mwanaume aliyekuwa naye mwanzo. Anataka kumwacha familia inakataa ushauri wenu tafadhali

Fuatilia na wewe ujue kuhusu Erick ili mje wote
 
kumtimua si haki.si sawa pasipo kujiuliza/kumuuliza maswali yafuatayo:

1.jamaa hajawai kuchit ata maramoja?..(aliye msafi awe wa kwanza kurushia jiwe mtu huyu...)

2.amuulize sababu za mkewe kutoka nje...UENDA SABABUI NI MWANAUME..hampi dudu au anampa pungufu au anamfania makorokocho amabyo yanamfanya mkewe asilifurahie tendo na mkewe na hawakupata muda wa kulizungumzia jambo.tatizo ilo

3.aangalie km mkewe ana dhamira ya kujiruidi...kuwa bora.mwema,.mwaminifu kwa mmewe....(kila mtu anakosea akuna mkamilifu uenda akimsamehe atakuwa mkebora...me n u we dont know ....mchek anasomekaje km kajutia poa tu mbona nyie wanaume mnapga sana nje na mitoto mnaleta ndani au mnazan wake zenu wana painproof?yess msamehe km wake zenu wanavyowasamehe

life is 2shot..chek mopyo wako unasomekaje...kachek afya km poa endelea...
 
ushauri wa nn hapo?
mwanamke hana shukrani (kasomeshwa) ,hana akili ya maisha huyo(kafilisi duka), siyo muaminifu na mbaya zaid unasema kwao washirikina(mnajuaje wameshawarekebisha wazazi wake ndo maana wanamwambia akimuachaa hawatamtambua).....PIGA CHINI ,TUPA KULEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kaka cha msingi ni ushauri hili tatizo ni la mdogo wangu na sii utani

ni kweli ndugu ila wazazi wa kijana wamekataa na wamemwambia binti kuwa wanamtambua yeye tuu na kama kijana atamuacha na kuoa binti mwingine atafute wazazi wake wapya na wala asikaribie kwao

Sasa hapa tuelewe lipi....

kinachosikitisha ndugu wa msichana nao wanatishia kwa imani za kishirikina kwani huko tanga usaliti kwao ni jambo la kawaida

Inaonekana hii ndoa ni ya familia mbili na si huyo mdogo wako na mkewe.....:decision:
 
mpaka hapo inaonyesha unampenda sana huyo mwanamke,coz ulimtimua halafu kwa hiari yako ukamrudisha.....basi kuwa na moyo huohuo
 
Msamehe kwani kosa si kosa ila kurudia kosa ndo kosa and samehe mara saba 70
 
kumtimua si haki.si sawa pasipo kujiuliza/kumuuliza maswali yafuatayo:

1.jamaa hajawai kuchit ata maramoja?..(aliye msafi awe wa kwanza kurushia jiwe mtu huyu...)

2.amuulize sababu za mkewe kutoka nje...UENDA SABABUI NI MWANAUME..hampi dudu au anampa pungufu au anamfania makorokocho amabyo yanamfanya mkewe asilifurahie tendo na mkewe na hawakupata muda wa kulizungumzia jambo.tatizo ilo

3.aangalie km mkewe ana dhamira ya kujiruidi...kuwa bora.mwema,.mwaminifu kwa mmewe....(kila mtu anakosea akuna mkamilifu uenda akimsamehe atakuwa mkebora...me n u we dont know ....mchek anasomekaje km kajutia poa tu mbona nyie wanaume mnapga sana nje na mitoto mnaleta ndani au mnazan wake zenu wana painproof?yess msamehe km wake zenu wanavyowasamehe

life is 2shot..chek mopyo wako unasomekaje...kachek afya km poa endelea...
Rose maswali mazuri ila hilo la pili; muda wa kuzungumza ndio uwe baada ya kufanya kosa? Kwa nini hakuzungumza naye kabla hajaanza kumangamanga nje?

Swali la tatu: ni ngumu sana kupima dhamira ya mtu hata ujue kakiri na hatorudia. Mahusiano yakishaingia dosari ya kutoaminiana ni tabu tupu

Halafu kwa kesi hii, mtu alifilisi duka kwa huonga, akarudishwa kwao kwa kosa hilo hilo aloenda tena kulitenda huko alipokuwa 'anatumikia adhabu'

Kusoma hujui, haya picha nayo?
 
sometimes wanaume tunakuwaga wajinga kweli..wewe mtu anacheat mpaka ukamrudisha kwao meaning ameshindikana sasa alimrudisha ya nini?huyo mdada atamletea gonjwa shauri yake
 
mhhhhhhhhhhhhhhh kweli wabongo ni madandara sorry lakini cha msingi endelea nae coz
1. sio wewe umegunmdua kakusaliti so kama asingekuambia usingelijua anakupenda sana ndio maana loho imemsuta anaekuambia mteme atakua anamtamani man endelea na kicheche wako si ulimchagua mwenyewe
 
QUOTE=Kombo;3163062]Aendeleenaye tu, sioni sababu kwanini amwache...yeye alipomrudisha kwao alitegemea naniakamliwaze?[/QUOTE]

Mama kanambia atanipamwali, akinipa mwali nitampeleka kwa Makandawila.Hivi waiishi kwa muda gani pamoja akashindwa kupuliza puto na kuamua kumpeleka kwa Makandawila?Maana ulalamishi huu waweza kuta dogo wako hana 'mbolea'.
 
huoy dada kwanza hampendi!if you love someone you dont admit to chaeating hata ukiwa umekamatwa red handed..sasa huyo dada anautoa wapi huo ujasiri wa ku-admit kitu kizito kama hicho??kaka hana chake hapo..akibaki ataumia!!
 
yeye ndo anamjua mkewe

ila ajiulize akimrudia ana uhakika hatosalitiwa tena?

na akimwacha kuna hasara / faida zipi?

Similar Discussions

Back
Top Bottom