jamani mjini hakuna mafuta heula wana lia sana

mkuu embu tuambie nikwel kwa mba mafuta hakuna kabisa

"heula" ndio nini, na mafuta yepi unaongelea? ya samaki, ya kupikia? ya taa, ya dizel au ya petroli? Kama ya kula, mtaani kwetu yapo, wahi kabla hayajaadimika, kama ya taa, kituoni Morogoro Rd na Swahili (faya) yapo, na kama ya gari yapo hapo pia, ni muda nimemtuma mtu akanijazie kwenye gari yangu na nimemuagiza kidumu cha mafuta ya taa. Sijui unaongolea mji upi, Dar au kwingine?
 
Back
Top Bottom