Jamani mihadhara nayo inaomba michango

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,900
21,989
Wapendwa nimekuwa nimekuwa nikilaumu sana muhadhara imekuwa ikitumika kama sehemu yakashfa na mwisho kuvunja amani
ndugu wapendwa tumekuwa wahanga wa mihadhara hii sasa ni mwezi wa sita kumekuwa na kutukanana na kila mtu kuongea naavyoweza
sasa basi jana nikiwa gizani na mama didy upande wa kibaraza tunakunywa kahawa
nikasikia maneno haya niliamka gafla nikamuuliza mama didy mmh haya mambo yapo hadi huku
nanukuu

""""NDUG ZANGU WAKRISTO NA WAISLAMU LEO TUNAOMBA MTOE SH 5000 KILAMTU MWENYEZI MUNGU ATOWAACHA NA KILA MNACHOTOA MUNGU ATAWALIPA MARA 20 YA MLICHOTOA BAADA YA DK KAMA 5 NIKAONA KIMYA NAHISI WACHACHE WALIITIKIA WITO AKARUDI BASI NDUGU ZANGUNI NAOMBA BASI WENYE ALF 2000 WATOE ,,IKAFIKA WENYE ALFU 1 WATOE TUNAOMBA TAFADHALI ILI USAIDIE MHADHARA WETU KUMBUKENI KUNAUMEME NA MALIPO MENGINE ....

DUH NIKASEMA SI MCHEZO SASA SI WAAMUE TU KUITA NGO MAANA MAJUZI KAMA MMEFIKAPALE MWENGE KITUONI WAMEANZISHA MCHEZO HAKO HAKO NAMWISHO WANAOMBA MCHANGO MWENYE KUTOA ALETE HAWA WA MWENGE HATA 200 WANACHUKU ILA WA KAWE KUTANGAZA LEO TUTOE 5000 MWISHO WAKAMLIZIA UTARUDISHIWA MARA 20 WAPI ZITOKE 20 MBONA NYIE AMKUTOA MKARUDISHIWA MARA 40....

FUNGUA MACHO UONEUKISHINDWA HAMA SIO LAZIMA KUHAMIA
 
Mkuu Pdidy ndo ajira yao hiyo wanafanya hivyop mwaka mzima,
hawa wa mwenge kuna kipindi nilikuwa nafanya mazoezi uwanja wa mabibo
karibu na sokoni walikuwepo nikaje enda kwenye msiba mbagala zackem pale
nikawakuta na juzi napita mwenge nawakuta.kinachonifanya niamini ni majina wanayotumia ni hayohayo.

SIJUI NI MOJAWAPO YA AJIRA MILIONI MOJA????
 
Sheikh mwingine yupo pale kariakoo anachangisha mchango wa ujenzi wa msikiti huu sasa ni mwaka wa 20. sasa utajiuliza miaka 20 yeye kila siku yupo na bendera yake ya kijahidina, je kazi anafanya saa ngapi ya kumuingizia kipato halali yeye na familia yake?
 
Jamani eeh, hapa Mjini kila mtu anakula kivyake. Hawa hawakusoma wakaweza kuwa na sifa za kuajiriwa huko serikalini kwenye Sitting allowance sasa mnategemea nao wapate wapi sitting allowance zao za kutolea michango kwenye misiba au kuwapa "Wapiga kura wao" hawa wanaovaa sketi! Mbona watu wa karata tatu amuwasemi au mnajifanya hamuwaoni! Kazi ni kazi.
 
nyie nini kinawauma na hamtoi? mbona hawa hamuwasemi wanaochukua dhahabu za waumini makanisani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom