Jamani mchumba wangu!

MKANDAHARI

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
5,667
6,462
Nina mchumba wangu lakini cku za hivi karibuni akishamaliza siku zake bado anakuwa bado anatokwa na bleed kma vitone kwa mbali.

Kama kuna mtu mwenye ufahamu nisaidieni! Ni sababu zipi zinasababisha mpaka itokee hivyo? Na afanyeje ili asipate tatizo hilo tena?
 
mchumba anaumwa enhh?pole kaka
lakin hosptal zipo kibao ebu fanya kumchek daktari...pole...km nakuona vle unavyokereka kwa vtone cz NO GAME....au wapga ivo ivo?

nenden hosptal bwana issue ndg io
 
Nenda hospitali iliyo jirani na uonane na daktari wa magonjwa ya kina mama.
 
pole mkubwa! Nenda kamuone mtaalamu'wa'wamama hospitali!
 
Woote nayaheshimu mawazo yenu,lakn hili tatizo linasababishwa na nini haswa?
 
pole kwa kuuguliwa na mupenzi. Mara nyingi tatzo hilo hutokea kwa wale wanao2mia njia za uzaz wa mpango kuzuia mimba, vp huyo mchumba ana2mia uzaz wa mpango wowote? Mwone dk.alyekaribu kwa uchnguzi zaidi.
Woote nayaheshimu mawazo yenu,lakn hili tatizo linasababishwa na nini haswa?
 
utakapoenda hosp HUKO DR ATAKUAMBIA LINASABABISHWA NA NINI??, NINI TIBA YAKE?? NA MENGINE MENGI.
 
heeeheee, by the way kabla sijachangia ni mchumba au rafiki au boyfriend? maana mchumba lazima wazazi pande zote wawe wanajua setiing hiyo.


yaani wewe hayo mengine yanakuhusu nn? mbona kashasema ni mchumba?...mtoa mada wakati mwingine huwa inasababishwa na pills kama anazitumia, mwambie aende hosp kwa uhakika zaidi...pole sana.
 
Big up kwa uwepo wa JF, Big up kwa wadau wote mlionipa ushauri na pia Big up kwa wale wadau wote ambao huwa wana-make jokes wakati wenzao wanaomba msaada! Nawapendeni woote!
 
Nina mchumba wangu lakini cku za hivi karibuni akishamaliza siku zake bado anakuwa bado anatokwa na bleed kma vitone kwa mbali. Kama kuna mtu mwenye ufahamu nisaidieni! Ni sababu zipi zinasababisha mpaka itokee hivyo? Na afanyeje ili asipate tatizo hilo tena?


Katoa mimba huyo anakuzingua tu,,yeye anajua tatizo.Kweli we **** yani hata hilo hujui tehe tehe ...watakucheka watu..Na kama cyo yko ya nani? Usikubali bro nenda kampe Kidafu mpk aseme ukweli wamezidi kudanganya.
 
Back
Top Bottom