Jamani mbuzi ya kukunia nazi haina technologia?

Hii ya Azam si nazi maana mimi nikitumia nazi halisi niko fresh kabisa, ila nikitumia Azam kosa nashinda nikiumwa tumbo na kuhara mpaka siku mbili zipite, nimeachana nayo kabisa.
 
Jamani kina mama na dada zetu na wake zetu wana kamateso fulani mara wapikapo wali wa nazi au kisamvu cha nazi. Mimi kila niwaonapo wanakuna nazi naona ni mateso tuu kwao ingawa wao wanaona ni mazoea. Jamani hapa Tanzania tumeshindwa kabisaa kutafunda njia ya urahisi ya kusaidia wanawake kukuna nazi mpaka wakali mbuzi na kukuna kizamani. tufanyeje jamani. Hata kutwanga jamani si mateso hayo. MImi naona elimisha sana watu na tafutia kazi .


Naamini VETA watakuja na solution kama wamesoma hapa japo ni muhimu kudumisa mila
 
Zipo nyingi tu, mf hizi hapa nimemletea wifi yenu!
 

Attachments

  • Mbuzi ya Mzungu.jpg
    Mbuzi ya Mzungu.jpg
    5.3 KB · Views: 138
  • Mbuzi.jpg
    Mbuzi.jpg
    3.2 KB · Views: 55

Similar Discussions

Back
Top Bottom