Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani mbuzi ya kukunia nazi haina technologia?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tango73, Jul 26, 2011.

 1. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,668
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jamani kina mama na dada zetu na wake zetu wana kamateso fulani mara wapikapo wali wa nazi au kisamvu cha nazi. Mimi kila niwaonapo wanakuna nazi naona ni mateso tuu kwao ingawa wao wanaona ni mazoea. Jamani hapa Tanzania tumeshindwa kabisaa kutafunda njia ya urahisi ya kusaidia wanawake kukuna nazi mpaka wakali mbuzi na kukuna kizamani. tufanyeje jamani. Hata kutwanga jamani si mateso hayo. MImi naona elimisha sana watu na tafutia kazi .
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 12,916
  Likes Received: 1,159
  Trophy Points: 280
  Wanunue Azam coconut!!!tena sh 400 ukilinganisha na natural sh 800
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,193
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Zipo mashine za kukwangulia ila kukuna kwa mbuzi kuna raha yake kama vile kutwanga mahindi badala ya kukoboa kwa mashine au kutwanga kisamvu.
   
 4. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ziku hizi wanakuna na kikunio cha kushika na mkono kipo kama kijiko kinakuna vizuri tu!
   
Loading...