Jamani mbona mnatuonea wanawake

Judgement.....unanilinganisha na kabinti kako kamoja eti eeh?? Alafu wewe uko hapa mpaka mida hii ya night kali unachat tu, na mkeo je kajilaza wapi?
 
Last edited by a moderator:
K ya mama si ndo utamu wa mshua au..so ukiitukana inanimate Kweli maana dingi akipewa bye a ndo mshua anatumwagia mpunga.....hahahaaaaa
 
Huku uswazi kwetu ni kawaida kwa wamama kuwatukana watoto wao tusi hili....infact wanajitukana.
 
Ya mwanamke inatishe, chezea, ashumu zote ziwekwe utosini, ipi itamtisha/mbembelezea mtoto?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom