Jamani mbona mnatuonea wanawake

Mtu anapokutusi hutegemea kuku-annoy sasa anajua akikutukania mama yako lazima urushe ngumi. Mie mtu akinitusi hilo tusi mie humjibu 'heri yako wewe uliyetokea mk...duni' ndiyo maana unakuwa na lugha chafu!

Hapo jamaa lazima akae kimya.
 
mh hiyo kali,haya bwana
 
Hiyo kichwa yako ina mapwenti mangapi? Labda uwe unaichaji usiku kama simu.
Afu nimekumisi, nataka kukualika tukagombane na mtu.
Ahsante Filipo....... tuko pamoja

Hehehehehe sahivi ntakuwa napost mapoint tu ili uwe unanipenda kila siku
 
Last edited by a moderator:
Hiyo kichwa yako ina mapwenti mangapi? Labda uwe unaichaji usiku kama simu.
Afu nimekumisi, nataka kukualika tukagombane na mtu.

Hehehehe mke mwenza hii nimechelewa kuiona .......mwaliko bado upo au usha eksipaya!
 
Kutukana kwa ujumla sio vizuri......iwe aliyetukanwa ni mwanamke au mwanaume!

Hayo ya hakuna kama mama wala hayahusiani......kwani nani kama baba?

ni kweli kutukana siku hizi imepitwa na wakati kwanza hakuna matusi mapya..., labda haya ya vijana wa siku hizi ya kukojoleaa............ mi nikitukana tusi kubwa labda ms.e.n.g.e sababu ndio watu ninaowachukia zaidi duniani
 
Astaghafirulah mswalie mtume sheikh
 
Unajua mtu anapokutukana furaha yake ni kuona lile tusi limekuumiza, so nadhani ndo source ya hilo tusi kuvuma na kuzoeleka.....kwa sababu wengi tumelelewa sana na mama zetu na twawapenda na ili tuchukie zaidi inabidi wamention mama! Atleast hivyo ndivyo ninavyofikiria mimi......
 
Kipipi unan'chokoza au? Mbona umeiga mawazo yangu niliyokwisha ya'comment ?
Fine inakuhusu ujue !
Sikuachi hadi nikulime tozo la fine .
 
Wahenga wanasema hakuna kama mama,na kila mmoja wetu anajua ni kiasi gani anampenda mama yake.ndio baba zetu tunawapenda lakini ndo hivo tena hakunaga kama MAMA...Sasa napita mahali watu wanagombana mmoja anamwambia we mse,,,g,, na mwingine anamwambia K,,ya mamayako mzazi.Sasa mi nashangaa mara nyingi watu wawili wanagombana lakini anaetukanwa ni mama mzazi ambaye kwa wakati huo hata unakuta hayuo hapo,kwa nini mama?kuna sababu gani hasa ya kumtukana mzazi wa kike sehemu zake za siri???Na wakati hata humjui wala hujagombana nae??

eti wanaona sifa na mijitu yenyewe inachekaaaaa. Stupid. Wanaona ni misamiati ya kawaida ya kutumia wakiongea hata mbele za watu.
Eti utaskia k****** jana nimelewa weeeeee... Etc etc. Uncivilized fools.
 
Yaani hizi hasira nilizonazo nadhani zitaisha nikifungua shule january baada ya krismas. Wewe sema tu lini una nafasi, mawe nnayo huku ntakuja na pickup
Hehehehe mke mwenza hii nimechelewa kuiona .......mwaliko bado upo au usha eksipaya!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom