Jamani mbona hamjibu

DanielP

Member
Dec 29, 2011
97
25
Jamani hizo proxy nnawekaje mbona mimi laini yangu haina ela niki put kwenye mozilla modem yangu ina sema connecting tu mda mrefu ila nikiweka money niki connect ina connect fasta nifanyaje iko connect bila hela na ianze onyesha spidi pale chini kwenye modem au kunakitu unafanya MSAADA PLEASE
 
Vuta subira kidogo wadau wapo majukumuni au kama huwezi vuta subila peruzi na kupekua kwenze thread zilizopita utapata maujanja yooootee.
 
Jamani hizo proxy nnawekaje mbona mimi laini yangu haina ela niki put kwenye mozilla modem yangu ina sema connecting tu mda mrefu ila nikiweka money niki connect ina connect fasta nifanyaje iko connect bila hela na ianze onyesha spidi pale chini kwenye modem au kunakitu unafanya MSAADA PLEASE

Bonyeza tool then option halafu click advanced then click network utaona sehemu ya kueka proxy, ingiza proxy hii 66.135.50.150 na port eka 80 click ok

Then katika url tab andika 0.facebook.com utaona page inafunguka we click proxy then itafunguka sehemu ya kueka adress.

Hio sehemu ya adress eka website yako. Mfano google.com click go then itafunguka google.
 
Kwanza kabisa inaonekana unatumia modem ya tigo au airtel. ila sio ishu fuata maelekezo ya mkwawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom