Jamani MBEYA na Wanamapato!!!!

Mnyitono 2

Member
Oct 29, 2010
16
1
Hivi sasa ni heri kuishi bila kuwa na vyombo vya usafiri kama vile magari n.k,hapo mwanzo walikuwa wakilipia parking kwa siku na kiwango kikitegemea aina ya gari.Lakini sasa imetangazwa kwamba michango hiyo ya parking ni kwa saa.Je, tunaelekea wapi? Naombeni mnielimishe mwezenu.
 
Hivi sasap ni heri kuishi bila kuwa na chombo cha usafi kama vile magari n.k,hapo mwanzo walikuwa wakilipia parking kwa siku na kiwango kikitegemea aina ya gari.Lakini sasa imetangazwa kwamba michango hiyo ya parking ni kwa saa.Je, tunaelekea wapi? Naombeni mnielimishe mwezenu.

Inaelekea hauelewi tofauti ya Mji na Jiji.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom