Jamani Mbeya Jamani.........kunani huko???

Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,253
11,598
Habari za watoto wa kike kuuawa kikatili huko Mbeya zinatisha. Kuna jamaa alinambia hiyo hadithi juzi lakini sikuamini. Alisema watoto 7 wa kike walikuwa tayari wameuawa baada ya kubakwa. Na Kwamba wauaji walikuwa wanachukua moyo wa kila mtoto baada ya kumuua, tena kupitia kwenye sehemu zake za siri. Sikuamini hadi jana niliposikia kwenye TBC1. Huko Mbeya nadhani kuna tatizo kubwa zaidi ya tunavyoelewa. Vinginevyo unaweza vipi kuamini hadithi kama hiyo?
 
huh! moyo unapitishwa kwenye sehemu ya siri? ................so unavutwa kutoka moyoni hadi huko kwanza au?

hata nashindwa kuelewa mbona
 
Hata mimi sikuelewa ndo maana mwanzoni sikuiamini hiyo hadithi. Kama kweli wanataka kupitisha wataweza kwani hao watoto wanakuwa wameshabakwa na kuuawa. Kwa hiyo wanaweza kupasua na kuchukua kama tunavyowafanya kuku! Ni jambo la kusikitisha sana.
 
Dark kama hutojali, matukio hayo yanatokea Mbeya sehemu gani hasa? Wilaya gani?
 
Mie nimeangalia TBC jana ila sikumbuki kama walisema ni sehemu gani ila habari hii ilinisikitisha sana na inahusishwa na mambo ya kishirikina nadhani..
kweli binadamu tumekosa imani unaua mtoto miaka sita ...
Sina hamu hata kidogo
 
matukio mengi sana ya ajabu mkoa wa mbeya yalianza miaka mingi sana, leo yanajulikana kwa sababu ya media. wazee wanasema ni matukio ambayo hufanywa na watu kutoka nchi jirani.
 
wanatoka nchi jirani! huko mbeya hakuna vyombo vya usalama? au ndo yale yale ya mwanza?
 
matukio mengi sana ya ajabu mkoa wa mbeya yalianza miaka mingi sana, leo yanajulikana kwa sababu ya media. wazee wanasema ni matukio ambayo hufanywa na watu kutoka nchi jirani.

Kwani huko Mbeya kuna nini jamani? Niliwahi kusikia kuwa Mkoa wa Mbeya unaongoza kwa ushirikana, sasa naanza kuamini kwamba inawezekana kuna ukweli katika hilo!
 
Habari za watoto wa kike kuuawa kikatili huko Mbeya zinatisha. Kuna jamaa alinambia hiyo hadithi juzi lakini sikuamini. Alisema watoto 7 wa kike walikuwa tayari wameuawa baada ya kubakwa. Na Kwamba wauaji walikuwa wanachukua moyo wa kila mtoto baada ya kumuua, tena kupitia kwenye sehemu zake za siri. Sikuamini hadi jana niliposikia kwenye TBC1. Huko Mbeya nadhani kuna tatizo kubwa zaidi ya tunavyoelewa. Vinginevyo unaweza vipi kuamini hadithi kama hiyo?

Kuko shwari tu
 
Mji uwekwe chini ya ulinzi wa JWTZ, polisi ni wachache hawatoshi
 
Miaka ya nyuma nlikaaga mby kuna jamaa walikuwa wanaitwa"wanyambuda walikuwa wanachuna ngozi watu na kuwangoa kucha....vp Wana mby bado watu hao wapo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo ni "signature move" ya watu wasiojulikana. inaonekana walianza kitambo kifanya activities zao huko mbeya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom