Jamani "Masaburi" ni nini?

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,734
Wanajamvi imebidi niulize maana katika jukwaa letu hili kila mara naona neno masaburi linatumika sana lakini bahati mbaya nimekuwa nikilielewa kutokana na jinsi lilivyotumika. Leo katika mada moja mchangiaji mmoja kasema hivi...... kweli nyani haoni masuburi yake" badala ya nyani haoni kundule. Sasa nauliza Masaburi = na makalio au kundule? Msaada jameni

user-online.png
MtamaMchungu

Today 18:06
#16 JF Senior Expert Member Array

Join Date : 10th April 2011
Posts : 396
Rep Power : 317

[h=2]
icon1.png
Re: CCM jamani![/h]
Hawa magamba si ndio wanapenda sana kutema mapovu humu kuhusu ofisi za CDM? Kweli nyani haoni masaburi yake, tena kwa hili ya Magamba makubwa kama ya tembo.

Ushahidi huo jamani masaburi ni nini?​
 
Masaburi ni Jina la Mtu! kama lilivyo Muganyizi.
Na hilo neno katika methali yako limewekwa ili kulazimisha kwa kusudi lichukue maana ya neno ''Kundule''
Sababu Kubwa la Huyo mwenye jina kuwaita wabunge wa Dar es slaaam Wanafikiri kwa Kutumia Makalio..
Gumzo lake likawa Kubwa na kuchukua nafasi ya Makalio au Kundule ligeuke Masaburi... Njia mojawapo ya Lugha kukuwa.
kaoge ule ukalale.....

Mods Funga hii Thread... Inajaza tu yalishazungumziwa haya siku za Nyuma...

Mkuu search Thread za Nyuma ujieleweshe na uburudike.
 
Kiongozi nashukuru ila kama kila kilichosemwa nyuma hakirudiwa somo la History lifutwe.... kama kama ulikuwa mkubwa na unaijua JF wengine ndo wanaifahamu.
 
Ni kiungo ambacho wapumbavu na Wana CCM wengi wanatumia kufikiri!Kipo sehemu za nyuma,na kinatumika pia kutoa mabaki ya chakula ambacho hakijameng'enywa nje ya mwili!
 
Back
Top Bottom