Jamani mapenziii

kikaragosi

Senior Member
Nov 14, 2010
112
10
Wana JF mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa pili tatizo langu mapenzi yananiumiza sana kwanza nlikuwa na mpz toka secondary tulipo karibia kuja chuo akanisaliti na sasa nipo nae clac moja japo hatongei kwakuwa anaishi na mwanaume nae tupo clac moja.Sa mwenzi wa 4 nlipata mpenzi mwingne tena mzuri zaidi kuliko wa mwanzo TATIZO nae ameanza kubadilika tena sana kutoa sababu za uongo na hata kunidanganya vibaya mno.Sijui nifanyeje na nimemweleza mambo yake habadiki na mi Nampenda staki nimwache.Plz nisaidieni maana clac sifanyi vizuri kwa Mawazo
 
Wewe Mtoto shule na mapenzi wapi na wapi? Mshika mawili moja humponyoka jaribu kuchagua moja ama shule ama mapenzi. Sikiliza mapenzi yapo tu kila siku lakini shule ni ya kipindi fulani so be very carefuly sababu ushasema mwenyewe shule hufanyi vizuri hiyo ni mbaya sana kuwa makini na shule then mambo mengine baadae mbona wazuri ni wengi tu na wanazaliwa kila siku. Ushauri tu lakini
 
Piga shule achana na hao..wengi wao wakifika chuo wanaigana maisha...
Sasa kama unategemea ka-boom utamegewa kila sekunde...
 
love,love,love,, 3times i wrote nakuomba kaka angu mpenzi be carefully nothing like education,,,,kumbuka ulipotoka ni mbali kuliko ulipobakisha...wazuri huzaliwa kila kukicha my dear dont act like dat make ur feuture first love will b next...
 
Ohoooo....! Kuwa makini wewe....! Vinginevyo, subiri udisco/usupp halafu uone kama utampata tena huyo, na huenda ukajutia katika maisha yako yote.....! Inaonekana unapenda bila kupendwa.....! Tafadhali sana, ogopa kupenda bila kupendwa, tena ogopa kama ukimwi....!
 
Ushauri wenu ni mzuri..ila sidhani kama utamsaidia sana!!!!
Haya mambo hutokea na hupangi ni lini wala wapi yatokee..pole mdogo wangu!
Cha maana ni kujiuliza mwenyewe..honestly, from the depth of your heart..kama that is the kind of guy u want in your life. I know the answer might be hurtful..inaumiza ila ndo ukweli, na ndo huo utakao kuset free. Jibu utakalolipata lifanyie kazi.
On second thought, I think you kind of still having some feelings on your first boyfriend. Coz, though hana uhusiano wowote na story hii mpya...
Again, hebu jichunguze pia mwenyewe ujiulize kama there is anything wrong with you (unajitunza vyema, tabia na maadili, marafiki ulionao, usafi, msimamo wako wa maisha, pamoja na mipango yako ya mbeleni)..These can be things that will chase him later when he gets to know u better. Plus, mazingira ya mlipokutana..as in, kama mlikutana club akakutokea ukakubali..u didnt expect it to be lasting, na anaona unang'angania sana so inabidi akupotezee...
Also, mliuanzaje urafiki wenu..wat promises and plans!??
Seriously, ni vizuri kujiuliza haya mambo-with all honesty-koz sometimes its not always his mistake!
Mwisho, tafadhali dadangu..usiuchezee muda wako huu uwapo shuleni...soma, concentrate on building yourself, being independent (self development) and praying to God..utajipata hata hayo mawazo ya boyfriend yanapungua. Hata wanaume wenyewe watajileta...who doesn't want an independent lady who is focused on her things and self growth!??at least not me..
iblia inasema: Mke mwema mtu hupata kwa Bwana...
(My theology on this):
Kama ambavyo baba hawezi kukubali bintiye aolewe tu na mtu hohehahe..ndivyo ambavyo Mungu hatokubali mwanaye apate mume hohehahe..so its not just abt the man, jiulize "Mimi ni mke mwema?"..only when the answer is an honest YES..thn, can u find a faithful and devoted man for a husband.
All the best my dia..and be blessed.
 
Soma ndugu maloveydovey utayakuta tu,,,utakimbia mwenyewe. Ikizidi atakuharibia masomo yako
 
Du kaka tengeneza GPA achana na hao wanawake wa chuo, kwa taarifa yako hao ni wachache sana sana wanamapenzi ya kweli wengi ni pesa tu kwani wanapenda kushindana na ndio maana anakudanganya.
Piga kitabu ukichoka kama ni mtu wa mazoezi kapige zoezi uwanjani baada ya muda utamsahau na akili yako itarudi kwenye shule. Acahana kabisa na wasichana wa chuo, ni wasanii mno!
 
sijabahatika kufika chuo kikuu ingawa natamani sana,
nikiona wenzangu wanachezea hizo bahati nasikitika sana..
 
Pengine ingekuwa vema ukijichunguza mwenyewe, kama wakuhame? May be unambana sana hata hana uhuru? Pengine what you call ove could mean obsession etc...it is good to critically examine yourself, though I know this is hard for each one of us. But it pays off to know yourself and be honest...if there areas where you need change/improvement, then go ahead and work on them, that should help you in your next relationship adventure. Otherwise, I also advise you...Kitabu first, and all others shall be added unto you
 
Piga shule kijana wasichana wengi wa chuo ndo walivyo utachanganyikiwa bure mtoto wa mkulima. Wasichana wana hulka ya kuigana masiha sasa kama unategemea boom tu mdogo wangu hautaweza lazima wenye cash wachukue. Achana naye kama hakusikilizi mapema kabla shule haijachanganya najua inauma ila after sometime utazoea na masiha yataendelea kaka. Focus kwenye ishu iliyokuleta chuo,. Maisha yapo tu na mwenyezi MUNGU atakusaidia utapata tu anayekufaa, atakayekupenda, kukusikiliza na kukuheshimu.:pray2:
 
Wana JF mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa pili tatizo langu mapenzi yananiumiza sana kwanza nlikuwa na mpz toka secondary tulipo karibia kuja chuo akanisaliti na sasa nipo nae clac moja japo hatongei kwakuwa anaishi na mwanaume nae tupo clac moja.Sa mwenzi wa 4 nlipata mpenzi mwingne tena mzuri zaidi kuliko wa mwanzo TATIZO nae ameanza kubadilika tena sana kutoa sababu za uongo na hata kunidanganya vibaya mno.Sijui nifanyeje na nimemweleza mambo yake habadiki na mi Nampenda staki nimwache.Plz nisaidieni maana clac sifanyi vizuri kwa Mawazo

Muulize Dr. Terezya Luoga Hovisa, Waziri wa Mazingira.
 
Jamani,huyu sio teenager, chuo kikuu mwaka wa pili, hili ndilo ground la kuyajua haya mambo vizuri, tumueleweshe na sio kumwambia aache mapenzi na shule kama mtoto wa form 2..mapenzi matamu atii.
Mimi namwambia hivi, ajifunze kusoma alama za nyakati, kama umependa na unaona kabisa hupendwi ni bora uachane nae tu, utapata mwingine, na pia kama unahitaji mtu wa kuaminika anapatikana kwa bwana, piga maombi kisawasawa (Jesus is the provider bwana!)
 
we mpende hivo hivo bana....ipo siku atabadilika tu....kwani hata ukifeli kuna tatizo? wangapi wamefeli bana aaaah!
 
Jamani,huyu sio teenager, chuo kikuu mwaka wa pili, hili ndilo ground la kuyajua haya mambo vizuri, tumueleweshe na sio kumwambia aache mapenzi na shule kama mtoto wa form 2..mapenzi matamu atii.
Mimi namwambia hivi, ajifunze kusoma alama za nyakati, kama umependa na unaona kabisa hupendwi ni bora uachane nae tu, utapata mwingine, na pia kama unahitaji mtu wa kuaminika anapatikana kwa bwana, piga maombi kisawasawa (Jesus is the provider bwana!)

Kaka kwa jinsi alivyojieleza hata kama ni wa mwaka wa pili, hata akimwacha huyo akichukua mwanachuo mwingine, mambo yatajirudia yaleyale na mwishowe atashindwa shule kwani ameshasema mwenyewe anashindwa hata kusoma. WASICHANA WENGI WA CHUO WASANII!
"Mwenye masikio na asikie!" Asiposikiam ati kisa mapenzi matamu well.......Your guess is as good as mine.
Hebu fikiria kaka msichana amekuchanganya mwishowe emefeli shule, shule yenyewe ladba miaka mitatu au minne, na umri wako sasa ni miaka say 25, kwa ajili ya miaka minne basi unakubali kuharibu maisha yako kwa miaka thelathini ijayo, hiyo ni akili kweli kaka? Ushauri mzuri hata kama mapenzi matamu, avumulie, amsahau apige shule.
 
Wana JF mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa pili tatizo langu mapenzi yananiumiza sana kwanza nlikuwa na mpz toka secondary tulipo karibia kuja chuo akanisaliti na sasa nipo nae clac moja japo hatongei kwakuwa anaishi na mwanaume nae tupo clac moja.Sa mwenzi wa 4 nlipata mpenzi mwingne tena mzuri zaidi kuliko wa mwanzo TATIZO nae ameanza kubadilika tena sana kutoa sababu za uongo na hata kunidanganya vibaya mno.Sijui nifanyeje na nimemweleza mambo yake habadiki na mi Nampenda staki nimwache.Plz nisaidieni maana clac sifanyi vizuri kwa Mawazo
nyekundu sijakuelewa kabisa,hii nyingine acha pupa ndo maana unatemwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom