Jamani mama yetu anaumwa sana-msaada

pole sana mimi nina rafiki yangu mpaka jana alikuwa aavuja damu tena mabonge mabonge na anatokwa na damu baada ya siku tatu inakata alafu inarudi tena wameangaika sana mpaka jana ndo wamepata ufumbuzi kumbe ni mume wake waliye achana ndiye amemloga na amepewa dawa na wataalamu saizi nimetoka zungumza naye imekata damu
 
sasa hapo kuna mawili kama ametoka na mume wa mtu atakuwa amelogwa au kama amemuacha mpenzi wake na bado mwanaume anampenda uenda akawa amemchezea kama huyo rafiki yangu alivyofaniwa jaribuni kuangaika kwa wataalamu mtapata ufumbuzi
 
mmh! kama ni age hiyo basi kunatatizo mpelekeni hospital na mumshirikishe sana Mungu katika hili
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom