Jamani madent miliopita tukuyu secondary mupo groundini jf

handeni

Member
May 17, 2011
22
3
Yule headmaster mwangoka yupo bado pale tukuyu? Au nae ndio kajifanya gadaf? Du mdingi yule nae alikuwa mnoko, hivi mnamkumbuka jamani hata waalimu wenzake walikuwa wanamuogopa kinoma.alikwishampiga kichwa mshikaji fulani alikuja pale shule kumtembelea mkewe. Almanusura awekwe lupango.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom