Jamani " lizzy" utaniua kwa barua yako tamu

Kaka iyo ni noma, ukitaka kumkomoa unashusha ya upande mmoja lingine unaliacha kwaida, atakomaje!

Alafu si unamuona chale-cheja !
Anajifanya hauoni huu uzi !
Wakati kauona sana, kaumwaga Siasa,
Siasa na Kongosho wapi na wapi !
 
Kwanza yule beberu wa urithi nakupatia, shamba la urithi nakupati, kale kajoo nako, yaani hata wale senene tuliowatunza kwa ajili ya watu muhimu watakuwa wako.

Mbona ntanona kama sio kunenepa mwaka huu.
Ngoja nije kumchukua huyo beberu niongeze kwenye walo nlopewa kitambo.
 
Mbona ntanona kama sio kunenepa mwaka huu.
Ngoja nije kumchukua huyo beberu niongeze kwenye walo nlopewa kitambo.

Hao wa urithi bado wa kwangu, si utakuwa bonge mpaka jamvini watu wakusahau? KARIBU BRITISH KINGDOM (BK) NCHI YA ILIYOTABILIWA NA MUNGU, NCHI YA ASALI NA MAZIWA, NCHI YA AHADI KARIBU MAMA UJISIKIE UPO KWANGU.
 
No no! Huyu dawa yake akizidisha namgeuza Vocha za Voda/Zain zile za bukubuku za kusugua, nikimgeuza voda ya Jero atajidai kwakua haisuguliwi !
Au nimloge awe Ngazi ? Watu wanapanda , wengine wanashuka !
Hahahahaaaa mgeuze Icecream au Lambalamba....Koni kama jina lake watu wailambe
 
inauma kweli kweli mwenyewe nilikuwa najipanga kumbee umewahiwa? Ngoja nirud duga kwanza.
 
umefanya vizuri kuweka mambo hazani wale wadokozi wawe macho wasije tolewa macho.
 
Ha ha ha, hebu niache nikajione.
Naskia jimbo ka Chit Chat kuna uchaguzi mdogo.

Ukizingatia swit hat ni mfalme lazima anipitishe kwenye majina ya wagombea.

Alafu si unamuona chale-cheja !
Anajifanya hauoni huu uzi !
Wakati kauona sana, kaumwaga Siasa,
Siasa na Kongosho wapi na wapi !
 
Ndugu zangu ikifika jumapili mnistue, nina mpango wa kwenda kanisani. Kuna mzembe kaangusha glasi yangu ya nyagi afu kasepa. Nataka niongee na Yesu ambwenge makwenzi ya usoni.
 
Anachotakiwa kukumbuka ni kwamba, Lizzy ni kifupi cha Elizabeth.
Na mimi huwa nina tabia ya kumpigia Lizzy simu kila siku kuanzia saa 6 za usiku.....
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom