Jamani " lizzy" utaniua kwa barua yako tamu

Heh, kuna mtu kaiba pasiwedi ya Lizzy?

Leo na yeye kawa maharage ya Mbeya :)

Ta Kamugisha, katambikie ulikopita leo na hongera sana.

Ni kipaji tu, wengine tumezaliwa kupendwa, hakuna cha kutambika wala nini hapa, ni sera zako zikiwa na mashiko unag'oa kiulaini tu.
 
We hilo sio tatizo lako wala lao. . .nimeshapanga kila kitu.

@ J. . . .Hahaha hapana. Napokea wale wenye HERI tu na sio wenye SHARI.

Hapo Lizzy ndo unaniua kabisaaaaaa hata shamba langu la urithi ntakupatia, utakuta nimeshabadil hata hati nimeandika jina lako hili mradi nkufuraishe wewe
 
Hahahahahaaaaa aisee hii njia ya kujitetea ni mpya sana Lol
Ngoja akija mwenyewe atasema tuone kama unatuingiza mjini...
Au kwa kuwa unakaa karibu na mkoa wa akina Bishanga ndo wameshakuambukiza zile tabia zao za tamtam?
Kwikwikwikwikwikwiiiiiiiiiiii

Tabia zipi tena LIZZY usinishitue mwenzio!
 
Tabia zipi tena LIZZY usinishitue mwenzio!
Sio wewe acha kuogopa..so far uko poa ila tunawajua jamaa zetu toka Senene Land wana tabia moja unique na ya wote...
Lol hata uifiche vipi haiwezekani yan kama pembe la ng'ombe lazma lionekane...
 
Kongosho nafikiri hujawahi kurogwa eeh !
Ukirudia maneno sampuli hii shauri yako !
Ungekua He nakushusha shipa!
Bt kwa vile nna uhakika ni She nakushusha mtindi !
Na hutopata size ya Sidiria hadi siku ya kiyama! Utaishia za kushonesha !
Nilikuloga juzijuzi hapa ukawa Maziwa mtindi , umesahau ?

Te te te umenichekesha sijawai ona! Kuna uchawi wa kushusha MTINDI? wa mkoa gani tena?
 
....ninachokuomba jihadhari na walimwengu(Mtei One na Bagah)...usione wanakuita shem shem ukawaeleza siri ya penzi letu...watafanya kila njia waone tumetengana....."

ah ah ah umenikumbusha mzee Daudi Kabaka "shemeji, shemeji huku mwazima taa.... ooh shemeji wee... shemeji shemeji huku mwazima taa"
 
Hahahahaaaa aise nimecheka sana JG
Hebu mdunde awe NYAMA CHOMA maana leo weekend nyamaa choma muhimu....
Hahahahaaa eti akawa Maziwa ya Mtindi Lol
Kongosho umekamatika hapa kwikwikwikwikwiiiiiiiiiii

No no! Huyu dawa yake akizidisha namgeuza Vocha za Voda/Zain zile za bukubuku za kusugua, nikimgeuza voda ya Jero atajidai kwakua haisuguliwi !
Au nimloge awe Ngazi ? Watu wanapanda , wengine wanashuka !
 
Enhee. . .Maandalizi gani na gani unafanya.?

Kwanza yule beberu wa urithi nakupatia, shamba la urithi nakupati, kale kajoo nako, yaani hata wale senene tuliowatunza kwa ajili ya watu muhimu watakuwa wako.
 
Teh yan unahangaika kumtumia nauli wakati wenzako wajanja washaweka kambi Unga LTD unadhani ataweza kuondoka?
Nenda kwenye uwanja wa mapigano itakula kwako then uje na barua kama ya Daz Nundaz

Ukitaka kuwa bondia usiogope ngumi za usoni, au barua haujaisoma vizuri? hayo yote maneno tu hata kwenye kanga zipo
 
Te te te umenichekesha sijawai ona! Kuna uchawi wa kushusha MTINDI? wa mkoa gani tena?

Babaaa tembea uone! Hiyo makitu inafanyika Pemba! Sio hii Pemba unayoijua ya Zenji no, ni Pemba ya Msumbiji .
Yaani kama vile unavyoliona busha linavyoumuka ndivyo Tindi linavyovimba!
 
Sio wewe acha kuogopa..so far uko poa ila tunawajua jamaa zetu toka Senene Land wana tabia moja unique na ya wote...
Lol hata uifiche vipi haiwezekani yan kama pembe la ng'ombe lazma lionekane...

Ipi tena kaka
 
Babaaa tembea uone! Hiyo makitu inafanyika Pemba! Sio hii Pemba unayoijua ya Zenji no, ni Pemba ya Msumbiji .
Yaani kama vile unavyoliona busha linavyoumuka ndivyo Tindi linavyovimba!

Kaka iyo ni noma, ukitaka kumkomoa unashusha ya upande mmoja lingine unaliacha kwaida, atakomaje!
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom