Jamani leo sioyi kajichanganya tena maskini ya mungu da hii kali tena

THEO LYIMO

Member
Mar 11, 2012
46
17
Leo katika jitiada za kupunguza asilimia za joshua kushinda sioi amejichanganya tena kwa kusema kuwa anafahamu vijiji vya arumeru vyote 74 wakati ni 86 maskini ya mungu atumie ile karatasi yake aangalie mambo yalivyo hajui vijiji viko vingapi

baridi barafu
 
Hawezi jukwaa,ivi bungeni c ataogopa viti? Amefeli.'shukrani kwenu watu wa mkoa wa arumeru'
 
Halafu nimemuona amepoteza confidence kabisa anakariri mambo.

Wananchi wa Arumeru wakimchagua huyu ni jaga la arumeru.
 
Jamani Mkenya lini kaijua Meru?
Wapiga kura kuweni makini sana ccm wanataka kuwapoteza!
Katika wagombea wote ni Joshua Nassari peke yake anayeijua Meru vizuri.
Chagua Nassari
Chagua CHADEMA
Chagua Maendeleo
Memo has given this post a heavy LIKE!!
 
Amekataaa kuja hapa nkoaranga coz yaani nyie mtasikia hapa hakuna ccm hata leo wamemletee noma mwenyekiti wao noma na wa jumuiya ya wazazi

mama mmoja akasema akitaka ampe kura yake labda agawe hereni alizotoka nazo nje
 
Huyo kijana anaijua vyema sana mitaa ya United Kingdom kuliko vijiji vya wilaya ya Arumeru. Ni bora agombee Ubunge UK ama kenya.
 
Nashauri aendelee kuwepo ili tuweze kuuona ubora wa kijana wetu N,Joshua make hautaweza kujua ni kwa kiasi gani dogo yuko fiti kama atakosa wa kusimama nae,mwisho kabisa,niwashukuru sana CCM kwa kuleta andazi likapambane na jiwe

CDM 4lfe,kamua bab,kamua sana
 
Hiyo yote ni tisa lakini la Sioi kutokuwepo kwenye daftari la wapiga kura Arumeru kama ni kweli basi itakuwa kituko cha kufungua mwaka huu.
 
Back
Top Bottom